Waziri Mkuu wa Ethiopia arudi ofisini baada ya kukomboa miji 6

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo.

Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa TPLF kushindwa vita kwani mpaka sasa Maelfu ya wapiganaji wa TPLF wameanza kujisalimisha kwa vikosi vya serikali kuu.





 
Watu maskini tuna shida kwenye akili zetu. Nani kasema matumizi ya bunduki ndio yatatuokoa?
 
Tukishukuru kingereza kuenezwa duniani Mana sijui ingekueje tuaze kusoma kila lugha ya nchi ,tungeweza kweli!!! Waziri mkuu kaandika nn hicho
 
NI heri ,Kama ni kweli basi anastahili pongez sana.ethiopia inahistoria ndefu na kongwe kuliko nch yeyote Africa,waethiopia licha ya utofauti wa makabila wanapaswa kuwa wakali na hodari kuilinda Ethiopia isimegwe hata kipande kimoja!!,wakiruhusu huu upuuz utokee kwa kabila moja Basi ,kila kabila lenye nguvu litataka kujitenga na kuwa nchi.hongera kubwa kwa abiy
 
Wamechoka kuikimbia nchi yao waeamua kuikimbiza serikali yao
 
Washkaji kama wanaasili ya kisomali. Au wayahudi weusi hao kwa maana wamechanganya damu?
Hao ndio wayahudi asilia ukoo wa Yuda walioko Israel ya Leo ni wayahudi waliochanganyana Sana na. Wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…