Waziri Mkuu wa Finland kwenye tamasha la muziki

Waziri Mkuu wa Finland kwenye tamasha la muziki

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
1657451730875.png

Waziri mkuu wa Finland amehudhuria tamasha la muziki Ruisrock hivi leo. Anapendeza bwana. NATO oyee!
 
Ameyarudi mauno peke yake ama amepata libaba la kumtomasa chuchu
 
Ameyarudi mauno peke yake ama amepata libaba la kumtomasa chuchu
Amehudhuria na mumewe.
On Saturday, Prime Minister Marin posted a photo with her husband Markus Räikkönen on her Instagram profile, signed: “Holidays started today”. She added that they were going to Turku on Ruisrock.
 
View attachment 2286128
Waziri mkuu wa Finland amehudhuria tamasha la muziki Ruisrock hivi leo. Anapendeza bwana. NATO oyee!
Kuna wakati wa lockdown huyu alitoroka akazamia club na mashoga zake. Anapenda sana kujirusha na mziki

Dunia ingekuwa na wanasiasa wengi kama hawa, kusingelikuwa na vita labda maana wao wanawaza kula good time tu hawana shida na wengine
 
Back
Top Bottom