Jirani zetu ni Sudan,Congo na si Waarabu wa kipalestina walijua ndugu zetu wawili!!!!
Tondu Lissu si Mungu Hamas ni Magaidi wanastqhili kufa tu!!Wapumzike kwa amani ndugu zetu waliofia katikati ya mapigano ya kuyafukuza majizi kwenye maeneo ya wizi:
Tundu Lissu: Hamas Siyo Magaidi ila Wale waliopora Ardhi yao. Unayemuona Gaidi Wewe kwa Wenzako ni Mpigania Uhuru mfano Mandela!
Jirani zako Congo na Sudan? Mnafiki wee! Lini uliwaongelea hawa:
View attachment 3480476
Au mliwahamishia kwa jirani zenu zaidi, Burundi?
Bure kabisa!
Afadhali Tanzania hatukufanya ujinga huo! Mkosaji lazima umsikilize ili upate hoja ya kumrekebisha, si kumkimbia. Walioondoka ni sawa na kujificha chini ya kivuli Cha mti.Haipo haja ya kumsumbua Antonio Guterres kutambua waliobakia humo ni aina ya vyura waiba chaguzi wa kwenu:
Israel counts 77 countries absent from Netanyahu’s UN speech after mass walkout | Full list inside
Kwani aina za Spain, Brazil, Cuba, South Africa, Kenya au hata Uganda tu, watabakia humo?
Bure kabisa!
Afadhali Tanzania hatukufanya ujinga huo! Mkosaji lazima umsikilize ili upate hoja ya kumrekebisha, si kumkimbia. Walioondoka ni sawa na kujificha chini ya kivuli Cha mti.
Utampuuzaje hasidi? Wakicheza atazidi kuwabagaza, nadhani umeshuhudia leoTofautisha kumkimbia na kumpuuza mawili hayo ni sawa kwa mbuzi wa mama peke yake!
Tondu Lissu si Mungu Hamas ni Magaidi wanastqhili kufa tu!!
Utampuuzaje hasidi? Wakicheza atazidi kuwabagaza, nadhani umeshuhudia leo
Unamwekea maneno Marehemu!! Huna hata aibu!!!Bila shaka dawa inakuingia:
View attachment 3480511
Kwa wengine haki ni haki hata ya panya road hata kama wao si baina yao!
Ninakazia:
Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote
Ukikosa hoja ni lazima tu ukimbie na ndiyo maana walificha ujinga wao kwa kukimbia nje ya ukumbi kisha wakaenda kuiangalia hotuba hiyo kwenye Runinga na kwenye simu zao!!!Wangapi waja leo tukijiridhisha twa-wa ignore vizuri tu? Au ungependa kuziona ignore lists za wadau tukiwaomba JF wasiwe hata wanaona mabandiko yetu?
Ukikosa hoja ni lazima tu ukimbie na ndiyo maana walificha ujinga wao kwa kukimbia nje ya ukumbi kisha wakaenda kuiangalia hotuba hiyo kwenye Runinga na kwenye simu zao!!!
Ninyi endeleeni kujifariji na kujipa moyo!!! Leo hii mmepatwa na nini mpaka mseme hayo? Kwa nini mlishindwa kutangaza kipindi hicho? Hakuna kitu kama hicho hayo ni maneno ya kujifariji tu kuficha kipondo walichokipata askari wa IRAN baada ya kuuliwa Makamanda wake waandamizi 30+ na picha zao hizi hapo chini!!🇮🇷 | Hujjat al-Islam Ahmad Khatami, Imam Jumu’ah of Tehran: In the 12-day war of the Zionist regime against Iran, 800 Zionists were killed, but this news is being censored, and they do not even say that 30 of their commanders also went to hell.
🔹@enemywatch
Hao wanajeshi łaki moja wewe umewapata wapi? IDF haiwezi ku-Misuse manpower yake kwa kitu kidogo kama hicho!! Kwa hiyo ka uulize tena aliyekudanganya kuwa kuna wanajeshi laki moja waliingia Gaza!!!Ile operation Gideon 2 ambayo wanajeshi laki moja waliingia Gaza vipi inaendeleaje? Mbona naskia fununu mnataka ceasefire? Kwanini operation isiendeleee ili Hamas wamalizwe? Echolima1
Ndiyo maana wazungu wanasema “If you can't handle the political heat stay out of kitchen.” ndiyo maana waliamua kukimbia nje!!Tofautisha kumkimbia na kumpuuza. Ndiyo maana hata JF ina button mahsusi kabsa kwa wajumbe wasiojitambua kama yeye.
Ndiyo maana wazungu wanasema “If you can't handle the political heat stay out of kitchen.” ndiyo maana waliamua kukimbia nje!!
Endelea kujifariji tu!!!