Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho hawajawahi kukishuhudia maishani mwao na ameahidi kusitisha Misaada yote kwa magaidi hao huko Gaza mpaka watakapowaachilia mateka wote waliowateka Oct 07,2023.