Wakapewe mabikira 72 fastaaaaMagaidi ya alla ni tatizo kwa ulimwengu,Nyau yawahishe kwenye danguro lao.
Wabongo bana magaidi ni akina nani ..watu wanapigania nchi yao wanaitwa magaid ma sisi tunaimba magaidiWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho hawajawahi kukishuhudia maishani mwao na ameahidi kusitisha Misaada yote kwa magaidi hao huko Gaza mpaka watakapowaachilia mateka wote waliowateka Oct 07,2023.
View attachment 3258271
Tumia akili yako vizuri!! Acha kujitoa ufahamu Oct 07,2023 magaidi wa Hamas waliteka watu 251 na sasa hivi wamebaki 59 tu kwa ujinga wako huoni hayo maendeleo? Hamas ilikuwa kila siku wanarusha makombola lakini sasa kimya wamenyooshwa na bado wanaendelea kunyooshwa!!! Walikuwa na viongozi wao waandamizi sasa hivi karibu wote hatuko nao wamekabidhiwa Mabikira 72 iliwawabikiri. Hayo yote wewe zważwa huyaoni!! Hamas ni magaidi na wanatumia wanawake na watoto kama kinga kwa kutumia ujanja huo wameweza kusababisha madhira kwa watu hao hivyo kosa ni la magaidi wala si Israel.Pumbavu hana lolote kapigana vita miaka 2 kipi alichofanikiwa badala ya kuuwa watoto, kinamama na kuvunja majumba tu?
Kumbe ni muungwana, yaani alikuwa anawapiga huku anawapelekea misaada!... na ameahidi kusitisha Misaada yote kwa magaidi hao huko Gaza mpaka watakapowaachilia mateka wote waliowateka Oct 07,2023.
kama ana jipya la kufanya ambalo sisi watu wa gaza hatujazoea basi afanye aache mdomo km mama kimbo...kifupi hana jipyaWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho hawajawahi kukishuhudia maishani mwao na ameahidi kusitisha Misaada yote kwa magaidi hao huko Gaza mpaka watakapowaachilia mateka wote waliowateka Oct 07,2023.
View attachment 3258271
tangia lini benja akawa na cha moto,angekuwa hivyo kusingekuwa na kitu kinaitwa cease fire pale gazaMtanyooka tu wewe subiri cha moto!!
Aache ujinga wapo imara na bosi wake a.k.a Babu yake hapendi ujinga ijinga na mauaji holela akiminya tu,atajikuta Ze Huege chap kwa haraka.Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho hawajawahi kukishuhudia maishani mwao na ameahidi kusitisha Misaada yote kwa magaidi hao huko Gaza mpaka watakapowaachilia mateka wote waliowateka Oct 07,2023.
View attachment 3258271