Netanyahu azungumza na Ben Gvir, Smotrich: ‘Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja’
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amezungumza usiku wa leo na washirika wake wa mrengo mkali wa kulia — Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir na Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich — na kuahidi kudumisha umoja wa kambi yao, vyombo vya habari vya Kiebrania vinaripoti.
Kambi ya Netanyahu — inayojumuisha chama chake cha Likud, makundi ya Haredi, pamoja na chama cha Otzma Yehudit cha Ben Gvir na chama cha Religious Zionism cha Smotrich — inatarajiwa kupata viti 53 katika uchaguzi wa jana, idadi ambayo ni ndogo sana ikilinganishwa na wingi wa viti 61 unaohitajika.
Wapinzani wa Netanyahu nao wamegawanyika, hali inayosababisha uvumi mkubwa kuhusu uwezekano wa kuundwa kwa serikali ya umoja; hatua ambayo inaweza kumfanya Netanyahu awaache washirika wake wa mrengo mkali wa kulia.
Hata hivyo, kulingana na ripoti ya kituo cha televisheni cha Channel 14 (ambacho kinaunga mkono serikali), Netanyahu aliwaambia Ben Gvir na Smotrich: “Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.”
Ripoti hizo zinaeleza kuwa, baadaye anatarajiwa kuzungumza na viongozi wa vyama vya Haredi, yaani United Torah Judaism na Shas.
Wafuga Midevu na Majini Cha moto watakipata!!! Ritz zitto junior na Waarabu-koko wote popote walipo Endeleeni kuharisha Ushindi wa Netanyahu uko palepale!!!
Hahaha mzee wa Uharo bora ungekaa kimya wataunda serikali kwa uharo😂Netanyahu azungumza na Ben Gvir, Smotrich: ‘Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja’
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amezungumza usiku wa leo na washirika wake wa mrengo mkali wa kulia — Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir na Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich — na kuahidi kudumisha umoja wa kambi yao, vyombo vya habari vya Kiebrania vinaripoti.
Kambi ya Netanyahu — inayojumuisha chama chake cha Likud, makundi ya Haredi, pamoja na chama cha Otzma Yehudit cha Ben Gvir na chama cha Religious Zionism cha Smotrich — inatarajiwa kupata viti 53 katika uchaguzi wa jana, idadi ambayo ni ndogo sana ikilinganishwa na wingi wa viti 61 unaohitajika.
Wapinzani wa Netanyahu nao wamegawanyika, hali inayosababisha uvumi mkubwa kuhusu uwezekano wa kuundwa kwa serikali ya umoja; hatua ambayo inaweza kumfanya Netanyahu awaache washirika wake wa mrengo mkali wa kulia.
Hata hivyo, kulingana na ripoti ya kituo cha televisheni cha Channel 14 (ambacho kinaunga mkono serikali), Netanyahu aliwaambia Ben Gvir na Smotrich: “Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.”
Ripoti hizo zinaeleza kuwa, baadaye anatarajiwa kuzungumza na viongozi wa vyama vya Haredi, yaani United Torah Judaism na Shas.
Wafuga Midevu na Majini Cha moto watakipata!!! Ritz zitto junior gallow bird na Waarabu-koko wote popote walipo Endeleeni kuharisha Ushindi wa Netanyahu uko palepale!!!
Hahaha mzee wa Uharo bora ungekaa kimya wataunda serikali kwa uharo😂
Weka idadi ya viti vyao.
Waarabu wa Israel ndiyo wanaamua nani awe waziri mkuu.
Ama kweli Ritz ni Mzee wa UHARO ndiyo maana unahara ovyo ovyo tu!!Hahaha mzee wa Uharo bora ungekaa kimya wataunda serikali kwa uharo😂
Weka idadi ya viti vyao.
Waarabu wa Israel ndiyo wanaamua nani awe waziri mkuu.
Rabin aliuawa na genge la netanyahuTatizo la Waarabu, ni jamii isiyoaminika.
Fikiria yaliyomtokea Yizack Rabin, alijitahidi kuwaleta karibu Wapalestina, akwapa favours nyingi za bure: umeme bure, maji bure, elimu bure mpaka kusomeshwa nje bure, makazi bure, wakajengewa maghorofa mengi :
Walichomlipa: Magaidi ya Iran yakaja yakawashawishi kuanzisha Hamas kwa lengo la kuwaangamiza Wayahudi naWapalestina wanoonekana kuwa na mahusiano na Wayahudi. Waarabu wakiwa wamepumbazwa akili wakaanza kuingia Israel na kujilipua, uhusiano mzuri ambao Rabin alikuwa anaendelea kuujenga, ukaishia hapo. Kumwamini maarabu ni kosa kubwa sana, ndiyo maana hata wapinzani wa Netanyahu, japo wanataka Netanyahu atoke, lakini wamegoma kushirikiana na vyama vya kiarabu kutokana na waarabu kutoaminika: leo rafiki yako, kesho adui yako mbaya kabisa!
Acha kutoa mifano mfu ambayo haina ukweli wowote!!Rabin aliuawa na genge la netanyahu
Halafu uchukue ardhi yangu,nyumba yangu,usitake hata niwe na nchi yangu,uje unisomeshe,unipe maji na umeme nitulie!?
Wewe watusi wakija tz wakafanya kama wayhudi wanaviwafanya wapalestina utatulia tu?
Ila Rabin aliuwawa na waisrael wenyewe!! Huoni kama hap waisrael walimuua ili kuhakikisha hakuna amani itapatikana Palestina?Fikiria yaliyomtokea Yizack Rabin, alijitahidi kuwaleta karibu Wapalestina, akwapa favours nyingi za bure: umeme bure, maji bure, elimu bure mpaka kusomeshwa nje bure, makazi bure, wakajengewa maghorofa mengi :
Umeulizwa hao mashetani watatu wana viti vingapi si ulete majibu!! Hawana kura za kutosha kuunda serikali ni either wakawapigie magoti waarabu au uchaguzi urudiweAma kweli Ritz ni Mzee wa UHARO ndiyo maana unahara ovyo ovyo tu!!
Ingekuwa waarabu wanaamua nani awe waziri mkuu Israel wangemweka Netanyahu? Anyway endelea kuharisha kwa sababu ya Ushindi wa Mwamba Netanyahu!!
wewe xuma hivi una hata seli mbili za ubongo zilizoungana ?Netanyahu azungumza na Ben Gvir, Smotrich: ‘Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja’
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amezungumza usiku wa leo na washirika wake wa mrengo mkali wa kulia — Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir na Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich — na kuahidi kudumisha umoja wa kambi yao, vyombo vya habari vya Kiebrania vinaripoti.
Kambi ya Netanyahu — inayojumuisha chama chake cha Likud, makundi ya Haredi, pamoja na chama cha Otzma Yehudit cha Ben Gvir na chama cha Religious Zionism cha Smotrich — inatarajiwa kupata viti 53 katika uchaguzi wa jana, idadi ambayo ni ndogo sana ikilinganishwa na wingi wa viti 61 unaohitajika.
Wapinzani wa Netanyahu nao wamegawanyika, hali inayosababisha uvumi mkubwa kuhusu uwezekano wa kuundwa kwa serikali ya umoja; hatua ambayo inaweza kumfanya Netanyahu awaache washirika wake wa mrengo mkali wa kulia.
Hata hivyo, kulingana na ripoti ya kituo cha televisheni cha Channel 14 (ambacho kinaunga mkono serikali), Netanyahu aliwaambia Ben Gvir na Smotrich: “Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.”
Ripoti hizo zinaeleza kuwa, baadaye anatarajiwa kuzungumza na viongozi wa vyama vya Haredi, yaani United Torah Judaism na Shas.
Wafuga Midevu na Majini Cha moto watakipata!!! Ritz zitto junior gallow bird na Waarabu-koko wote popote walipo Endeleeni kuharisha Ushindi wa Netanyahu uko palepale!!!
Unajitekenya ukiwa Tehran ama gazaHahaha mzee wa Uharo bora ungekaa kimya wataunda serikali kwa uharo😂
Weka idadi ya viti vyao.
Waarabu wa Israel ndiyo wanaamua nani awe waziri mkuu.
Wapo kma Masai tu mtaani rafiki yako ukimkuta machungani porin adui yako na hakukujui kabisaaaTatizo la Waarabu, ni jamii isiyoaminika.
Fikiria yaliyomtokea Yizack Rabin, alijitahidi kuwaleta karibu Wapalestina, akwapa favours nyingi za bure: umeme bure, maji bure, elimu bure mpaka kusomeshwa nje bure, makazi bure, wakajengewa maghorofa mengi :
Walichomlipa: Magaidi ya Iran yakaja yakawashawishi kuanzisha Hamas kwa lengo la kuwaangamiza Wayahudi naWapalestina wanoonekana kuwa na mahusiano na Wayahudi. Waarabu wakiwa wamepumbazwa akili wakaanza kuingia Israel na kujilipua, uhusiano mzuri ambao Rabin alikuwa anaendelea kuujenga, ukaishia hapo. Kumwamini maarabu ni kosa kubwa sana, ndiyo maana hata wapinzani wa Netanyahu, japo wanataka Netanyahu atoke, lakini wamegoma kushirikiana na vyama vya kiarabu kutokana na waarabu kutoaminika: leo rafiki yako, kesho adui yako mbaya kabisa!
Netanyahu azungumza na Ben Gvir, Smotrich: ‘Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja’
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amezungumza usiku wa leo na washirika wake wa mrengo mkali wa kulia — Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir na Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich — na kuahidi kudumisha umoja wa kambi yao, vyombo vya habari vya Kiebrania vinaripoti.
Kambi ya Netanyahu — inayojumuisha chama chake cha Likud, makundi ya Haredi, pamoja na chama cha Otzma Yehudit cha Ben Gvir na chama cha Religious Zionism cha Smotrich — inatarajiwa kupata viti 53 katika uchaguzi wa jana, idadi ambayo ni ndogo sana ikilinganishwa na wingi wa viti 61 unaohitajika.
Wapinzani wa Netanyahu nao wamegawanyika, hali inayosababisha uvumi mkubwa kuhusu uwezekano wa kuundwa kwa serikali ya umoja; hatua ambayo inaweza kumfanya Netanyahu awaache washirika wake wa mrengo mkali wa kulia.
Hata hivyo, kulingana na ripoti ya kituo cha televisheni cha Channel 14 (ambacho kinaunga mkono serikali), Netanyahu aliwaambia Ben Gvir na Smotrich: “Tuko pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.”
Ripoti hizo zinaeleza kuwa, baadaye anatarajiwa kuzungumza na viongozi wa vyama vya Haredi, yaani United Torah Judaism na Shas.
Wafuga Midevu na Majini Cha moto watakipata!!! Ritz zitto junior gallow bird na Waarabu-koko wote popote walipo Endeleeni kuharisha Ushindi wa Netanyahu uko palepale!!!
Mzee wa Uharo naona hujui lolote kuhusi siasa za Mabwana zako Israel 😂Ama kweli Ritz ni Mzee wa UHARO ndiyo maana unahara ovyo ovyo tu!!
Ingekuwa waarabu wanaamua nani awe waziri mkuu Israel wangemweka Netanyahu? Anyway endelea kuharisha kwa sababu ya Ushindi wa Mwamba Netanyahu!!
Mzee wa UHARO wewe hujitambui kabisa 57% hizo ni za Likud pekee wakiungana na wengine 61 itafikiwa bila shida!!Mzee wa Uharo naona hujui lolote kuhusi siasa za Mabwana zako Israel 😂
Kumbe ni shabiki mandazi tu wewe na wenzako huo muungano unaosema tayari wana viti 53 tu wataundaje hiyo serikali😂😂 ili kuunda serikali unatakiwa kuwa na viti 61
Hujui kama Likud wamepoteza viti 7 ?
Hili waaunde serikali wanatakiwa wawe na viti vya ziada 8.
Sasa wewe unawadanganya mapunguani wenzako umewakea na picha bilia takwimu zozote wanagonga likes tu😂
Hiyo one state solution , Jews hawaikubali hata kidogo.Ila Rabin aliuwawa na waisrael wenyewe!! Huoni kama hap waisrael walimuua ili kuhakikisha hakuna amani itapatikana Palestina?
Mara nyingi wewe na wenzio huwa mna support One state solution ambapo palestina inafutwa na ardhi yote inakua Israel 100%. Sasa cha kujiuliza kwenye situation kama hizi za uchaguzi itakuaje? Kumbuka wapalestina ni wengi kuliko wayahudi hapo middle-east sasa kama wakiwa taifa moja wataruhusiwa kupiga kura??? Wakiruhusiwa hauoni waarabu ndio watakua wanaamua waziri mkuu awe nani?
Yaani hii one state solution hata sielewi itafanyeje kazi
Hujui hata unachokisemaTatizo la Waarabu, ni jamii isiyoaminika.