Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuungana na Itamar Ben Gvir, Smotrich kuunda Serikali

Mzee wa UHARO wewe hujitambui kabisa 57% hizo ni za Likud pekee wakiungana na wengine 61 itafikiwa bila shida!!

Hata hivyo Endeleeni kuharisha maana Netanyahu kapata ushindi na anaongoza kwa 53% dhidi ya mpinzani wake!!!
Hahahaha Mzee wa Uharo kumbe debe tu hujui lolote.

Nakupa darasa wewe na mapuani wenzako.

    • Muungano wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu (Chama cha Likud na washirika wake): Viti 53
    • Kambi kuu ya upinzani (inayoongozwa na Gadi Eisenkot): Viti 48
    • Vyama vya Waarabu (The Joint List na Ra'am): Viti 19
    • Idadi inayohitajika kuunda serikali: Viti 61
Kwa sababu hakuna kambi iliyofika viti 61, vyama vya Waarabu vyenye viti 19 vina nafasi kubwa ya kuamua upande utakaounda serikali mpya kupitia mazungumzo ya muungano. Matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa tarehe 4 Novemba 2026, na bunge linatarajiwa kuapishwa tarehe 10 Novemba 2026
 
Haahahaha eti wana viti 57😂

Kavipata wapi?

Likud 27
Otzma Yehudit 7
United Torah 7
Judaism 6
Shas 6

Mzee wa Uharo kichwani kumbe boga hamna kitu hujui lolote hao ulioweka picha zao wana vitu 7 kila mmoja😂

Nimecheka hiyo serikali yako ulioinda😂
 
Acha kutoa mifano mfu ambayo haina ukweli wowote!!

Hakujawahi kutokea nchi inayoitwa Palestina wajinga tu ndiyo mnatiana ujinga!!
Tutawaelimisha bila kuchoka
 
Attachments

  • IMG_20251225_105959_406.jpg
    IMG_20251225_105959_406.jpg
    51.9 KB · Views: 1
Haahahaha eti wana viti 57😂

Kavipata wapi?

Likud 27
Otzma Yehudit 7
United Torah 7
Judaism 6
Shas 6

Mzee wa Uharo kichwani kumbe boga hamna kitu hujui lolote hao ulioweka picha zao wana vitu 7 kila mmoja😂

Nimecheka hiyo serikali yako ulioinda😂
Hilo jamaa ni jinga, darasani sijui ilikuaje
 
Hahahaha Mzee wa Uharo kumbe debe tu hujui lolote.

Nakupa darasa wewe na mapuani wenzako.

    • Muungano wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu (Chama cha Likud na washirika wake): Viti 53
    • Kambi kuu ya upinzani (inayoongozwa na Gadi Eisenkot): Viti 48
    • Vyama vya Waarabu (The Joint List na Ra'am): Viti 19
    • Idadi inayohitajika kuunda serikali: Viti 61
Kwa sababu hakuna kambi iliyofika viti 61, vyama vya Waarabu vyenye viti 19 vina nafasi kubwa ya kuamua upande utakaounda serikali mpya kupitia mazungumzo ya muungano. Matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa tarehe 4 Novemba 2026, na bunge linatarajiwa kuapishwa tarehe 10 Novemba 2026
Endelea kuharisha kutokana na Ushindi wa Baba yenu Netanyahu sasa umekubali kuwa Mwamba kapata 53%? Na bado utakubali tu Netanyahu atakapounda Serikali bila ya waarabu na kuungwa mkono na vyama vingine rafiki!!! Mzee wa Uharo safari hii utaharisha sana na Mbwa-koko wenzako!!
 
Hujui lolote wewe eti Likud ana viti 57😂
 
Hilo jamaa ni jinga, darasani sijui ilikuaje
Sasa mimi na wewe na mjinga?

Wewe ndiyo punguani kabisa nakuwekwa ushahidi data zipo wazi wewe ulivyokuwa bwegee unatakataa kwa kutumia fikra zako😂
 
Stray bullet, friendly fire
 
Endelea kujihami Shia tu lakini ukweli upo palepale tu Netanyahu anaongoza kwa 53%!,,
Hahahaha siyo viti tena 57?
🇮🇱 Mkuu wa uchaguzi wa Israeli anasimama kando ya kura licha ya madai ya udanganyifu ya Netanyahu.

Tangu vyama vya Kiarabu vipate faida kubwa katika uchaguzi wa wiki iliyopita, Netanyahu na chama chake wamekuwa wakiwashutumu kwa kuiba kura.

Lengo lao kuu ni chama cha Kiarabu cha Raam, ambacho huduma ya usalama ya Israeli sasa inachunguza madai kwamba kilichukua pesa kutoka Qatar.

Raam na Qatar zote zinakana, huku Qatar ikiita shutuma hiyo kuwa ya kipuuzi na hatari.

Hata hivyo, jaji anayeendesha uchaguzi anasema matokeo ya jumla yanabaki hata kama madai hayo yatakuwa kweli, na kwa sasa tuhuma zinabaki kuwa tuhuma.

Viti hivyo vya Kiarabu vinaweza kuwa ndicho kinachomsaidia mpinzani wa Netanyahu Gadi Eisenkot kuunda serikali ijayo.

Chanzo: AFP / Mwandishi: Daniyal

View: https://x.com/marionawfal/status/2117094345220460894?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Iwe viti au asilimia Mwamba Netanyahu anaongoza!!
 
Back
Top Bottom