Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Waziri Mkuu Netanyahu anasema Israel iko katika hatua nzuri ya kufikia malengo yake, haswa kuwarudisha mateka wote. Anamshukuru Rais Trump, Jared Kushner, na Steve Witkoff kwa jukumu lao muhimu katika kuchanganya shinikizo la kidiplomasia na kijeshi ambalo liliweza kuwaingiza Mkenge magaidi wa Hamas.
Jared Kushner anabainisha ushujaa wa IDF na anasifu uongozi thabiti wa Netanyahu na kujifungamanisha na Trump.
Steve Witkoff anasema maamuzi magumu ya Netanyahu na nguvu za kijeshi za Israel ziliwalazimu Hamas kukubaliana na mpango huo.