Waziri Mkuu wa Italy ajiuzulu kufuatia maandamano. Mbona hatuoni nyuzi zikianzishwa na CHADEMA kutolea mfano Viongozi wetu kama kule Sri Lanka?

Wao wana hangaika na mambo ya simba yanga,diamond konde kajala uwoya etc...
Uchawa,harusi ya nandy mambo yao
Umbeaumbea
We waweke matamasha watajaa,
Wafungulie sehem za burdan watakuja hata kama hawana hela watapata tu

Ova
Haya hua unayaandika kama utani lkn ndio ukweli mtupu huo ulioandika.
 
Braza narudia tena kasome maana ya hilo neno turmoil. Halafu soma wanachogombea halagu urudi hapa kukomenti. Bro hakuna mwitaliano aliyeingia mtaani. Watu wametofautiana principles tu
Turmoil = Sintofahamu ?! Au Kizungumkuti ?! Au ?!! Uncertainty!” !!!
 
Ndio hivyo hivyo, endeleeni kutoa mifano ya Sri Lanka
Sio lazima yatokee kama ya Sri lanka ila hii yote ni katika kukumbushana kuchukua tahadhari yasije kutokea yale tunayoyasikia kwa wenzetu !! Na endapo yatatokea rekodi zitaonyesha kwamba watu walitahadharisha lakini hawakusikilizwa!! Ni Hivyo tu wote tunajaribu kujenga nyumba moja!!
 
Nyie mnaombea mkidhani ndio mwanya wenu kushika dola 😬😬
 
Wenye jukumu la kupigania haki za raia wa TANZANIA sio chadema pekee bali ni jukumu la WATANZANIA wote wanao jitambua.
 
Kama mwanasiasa yupi huyo ?
 
Turmoil = Sintofahamu ?! Au Kizungumkuti ?! Au ?!! Uncertainty!” !!!
Then achunguze ilitokana na nini. Watu hawakutaka Draghi ajiuzulu. Usiopelewa chanzo cha mgogoro unaweza kupotoeha watu pakubwa sana
 
Wapo wengi tu wakishakipata wakitakacho basi kwanza huwa ni kujaza matumbo !! Kwani yule aliyesema kwanza ni lazima ajaze tumbo lake yeye halafu ndio aangalie ya wengine Hukumsikia ??!
Sikumsikia, ni nani
 
Haki gani mnazopigania nyie Chadomo zaidi ya kutafuta madaraka muwe warafi.
Kama ambavyo Mimi nimekuheshimu na kuweka maoni yangu ya heshima vivo hivyo ningependa na wewe uniheshimu. Usidhani kila mtu anayetoa maoni tofauti na wewe ni mfuasi wa Chadema la hasha sio kila mtu ni mshabiki wa vyama vya kisiasa hapa nchini wengine hatuko hivyo basi naomba uheshimu kila maoni ya mtu yaliyo tofauti na wewe yaliyo tolewa kiheshima.
 
Kweli kabisa wengine hatupo huko kwenye vyama !!
 
Kweli kabisa wengine hatupo huko kwenye vyama !!
Hawa watu wa nama hii humu Jamiiforums wao hudhani kila atakaye toa maoni yao tofauti kuhusu CCM na utawala wa Sasa lazima atakuwa chadema au Sukuma gang[wao wanawaita team magufuli ] kumbe wengine hatupo hivyo. Pia hivo hivyo wale watakao toa maoni yao tofauti na chadema wao hudhani ni lazima watakuwa CCM kumbe sivyo wengine maswala ya vyama kwa Kisiasa kwa siasa zetu za hapa nchini hatuja yapa nafasi kabisa.
 
100% truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…