The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #21
Wajibu na tija Ndio huamua salary.Wengine wanagoma. Hawa wanalamika tuuu.
Mshahara ni hisani???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajibu na tija Ndio huamua salary.Wengine wanagoma. Hawa wanalamika tuuu.
Mshahara ni hisani???
Haki na wajibu=chama cha walimu TanzaniaWajibu na tija Ndio huamua salary.
Ndio hivyo hivyo, endeleeni kutoa mifano ya Sri LankaHaki na wajibu=chama cha walimu Tanzania
Haya hua unayaandika kama utani lkn ndio ukweli mtupu huo ulioandika.Wao wana hangaika na mambo ya simba yanga,diamond konde kajala uwoya etc...
Uchawa,harusi ya nandy mambo yao
Umbeaumbea
We waweke matamasha watajaa,
Wafungulie sehem za burdan watakuja hata kama hawana hela watapata tu
Ova
Turmoil = Sintofahamu ?! Au Kizungumkuti ?! Au ?!! Uncertainty!” !!!Braza narudia tena kasome maana ya hilo neno turmoil. Halafu soma wanachogombea halagu urudi hapa kukomenti. Bro hakuna mwitaliano aliyeingia mtaani. Watu wametofautiana principles tu
Sio lazima yatokee kama ya Sri lanka ila hii yote ni katika kukumbushana kuchukua tahadhari yasije kutokea yale tunayoyasikia kwa wenzetu !! Na endapo yatatokea rekodi zitaonyesha kwamba watu walitahadharisha lakini hawakusikilizwa!! Ni Hivyo tu wote tunajaribu kujenga nyumba moja!!Ndio hivyo hivyo, endeleeni kutoa mifano ya Sri Lanka
Nyie mnaombea mkidhani ndio mwanya wenu kushika dola 😬😬Sio lazima yatokee kama ya Sri lanka ila hii yote ni katika kukumbushana kuchukua tahadhari yasije kutokea yale tunayoyasikia kwa wenzetu !! Na endapo yatatokea rekodi zitaonyesha kwamba watu walitahadharisha lakini hawakusikilizwa!! Ni Hivyo tu wote tunajaribu kujenga nyumba moja!!
Wenye jukumu la kupigania haki za raia wa TANZANIA sio chadema pekee bali ni jukumu la WATANZANIA wote wanao jitambua.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..
Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee..
Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya Boris Johnson wa England..
****
Wako wapi wale CHADEMA na Sukuma gang kuja kuanzisha nyuzi za kutishia viongozi wetu kwamba wanaongoza vibaya hivyo maisha magumu wakitolea mfano wa Sri Lanka kwamba watawatimua viongozi Ikulu?
Vipi na huko Ulaya kwenye maisha mazuri mbona Nako Hali si Hali? Au huko hakuna Katiba mpya ya kuleta maisha Bora?👇
View attachment 2299601
Huyo ni Chawa, hata humueleweshe Vipi hawezi kukubali.Braza narudia tena kasome maana ya hilo neno turmoil. Halafu soma wanachogombea halagu urudi hapa kukomenti. Bro hakuna mwitaliano aliyeingia mtaani. Watu wametofautiana principles tu
Haki gani mnazopigania nyie Chadomo zaidi ya kutafuta madaraka muwe warafi.Wenye jukumu la kupigania haki za raia wa TANZANIA sio chadema pekee bali ni jukumu la WATANZANIA wote wanao jitambua.
Kama mwanasiasa yupi huyo ?Wanahangaika na Simba na Yanga na Ndondo cup tu !! Inatosha !!! Je unajua ni kwanini wanakuwa hivyo ?? Wameshagundua Mara nyingi wao huwa wanatumiwa kama daraja la wanasiasa kupanda huko juu na wakishafika huko juu wanaanza kwanza kufikiria matumbo yao !! Ndio maana wameona ni bora kila MTU apambane na hali yake !! Hata Kigwangala anajua hili la matumbo kwanza !!
Then achunguze ilitokana na nini. Watu hawakutaka Draghi ajiuzulu. Usiopelewa chanzo cha mgogoro unaweza kupotoeha watu pakubwa sanaTurmoil = Sintofahamu ?! Au Kizungumkuti ?! Au ?!! Uncertainty!” !!!
Wapo wengi tu wakishakipata wakitakacho basi kwanza huwa ni kujaza matumbo !! Kwani yule aliyesema kwanza ni lazima ajaze tumbo lake yeye halafu ndio aangalie ya wengine Hukumsikia ??!Kama mwanasiasa yupi huyo ?
Sikumsikia, ni naniWapo wengi tu wakishakipata wakitakacho basi kwanza huwa ni kujaza matumbo !! Kwani yule aliyesema kwanza ni lazima ajaze tumbo lake yeye halafu ndio aangalie ya wengine Hukumsikia ??!
Kigwa !Sikumsikia, ni nani
Kama ambavyo Mimi nimekuheshimu na kuweka maoni yangu ya heshima vivo hivyo ningependa na wewe uniheshimu. Usidhani kila mtu anayetoa maoni tofauti na wewe ni mfuasi wa Chadema la hasha sio kila mtu ni mshabiki wa vyama vya kisiasa hapa nchini wengine hatuko hivyo basi naomba uheshimu kila maoni ya mtu yaliyo tofauti na wewe yaliyo tolewa kiheshima.Haki gani mnazopigania nyie Chadomo zaidi ya kutafuta madaraka muwe warafi.
Kweli kabisa wengine hatupo huko kwenye vyama !!Kama ambavyo Mimi nimekuheshimu na kuweka maoni yangu ya heshima vivo hivyo ningependa na wewe uniheshimu. Usidhani kila mtu anayetoa maoni tofauti na wewe ni mfuasi wa Chadema la hasha sio kila mtu ni mshabiki wa vyama vya kisiasa hapa nchini wengine hatuko hivyo basi naomba uheshimu kila maoni ya mtu yaliyo tofauti na wewe yaliyo tolewa kiheshima.
Hawa watu wa nama hii humu Jamiiforums wao hudhani kila atakaye toa maoni yao tofauti kuhusu CCM na utawala wa Sasa lazima atakuwa chadema au Sukuma gang[wao wanawaita team magufuli ] kumbe wengine hatupo hivyo. Pia hivo hivyo wale watakao toa maoni yao tofauti na chadema wao hudhani ni lazima watakuwa CCM kumbe sivyo wengine maswala ya vyama kwa Kisiasa kwa siasa zetu za hapa nchini hatuja yapa nafasi kabisa.Kweli kabisa wengine hatupo huko kwenye vyama !!
100% truthHawa watu wa nama hii humu Jamiiforums wao hudhani kila atakaye toa maoni yao tofauti kuhusu CCM na utawala wa Sasa lazima atakuwa chadema au Sukuma gang[wao wanawaita team magufuli ] kumbe wengine hatupo hivyo. Pia hivo hivyo wale watakao toa maoni yao tofauti na chadema wao hudhani ni lazima watakuwa CCM kumbe sivyo wengine maswala ya vyama kwa Kisiasa kwa siasa zetu za hapa nchini hatuja yapa nafasi kabisa.