Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo
Ikulu ya Ufaransa ilitangaza kupitia taarifa rasmi kuwa Rais Emmanuel Macron amekubali kujiuzulu kwa mshirika wake wa karibu huyo
Lecornu, aliyeteuliwa takribani mwezi mmoja uliopita, alikuwa ametangaza majina ya mawaziri wake Jumapili jioni. Hata hivyo, baraza hilo jipya lilizua hasira na malalamiko kutoka kwa wapinzani na hata washirika wa kisiasa wa Macron
Baraza la mawaziri lilitarajiwa kufanya kikao chake cha kwanza Jumatatu mchana, lakini mpangilio huo mpya wa serikali umeibua mvutano mkubwa katika duru za siasa za Ufaransa
Lecornu, ambaye hapo awali alihudumu kama Waziri wa Ulinzi, alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Macron ndani ya kipindi cha miaka miwili, jambo linaloashiria misukosuko ya kisiasa inayomkabili rais huyo katika juhudi zake za kuimarisha utawala wake
Soma pia Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amteua Waziri wa Ulinzi Sebastien Lecomu kuwa Waziri Mkuu
===========
The French presidency said in a statement on Monday that President Emmanuel Macron has accepted his close ally’s resignation
Nearly a month after his appointment, Lecornu had named his ministers on Sunday evening
The cabinet had been set to hold its first meeting on Monday afternoon, but its lineup angered both opponents and allies alike
Lecornu, a former defence minister, was Macron’s fifth prime minister in two years.
Source: ALJAZEERA, CNN & BBC
Ikulu ya Ufaransa ilitangaza kupitia taarifa rasmi kuwa Rais Emmanuel Macron amekubali kujiuzulu kwa mshirika wake wa karibu huyo
Lecornu, aliyeteuliwa takribani mwezi mmoja uliopita, alikuwa ametangaza majina ya mawaziri wake Jumapili jioni. Hata hivyo, baraza hilo jipya lilizua hasira na malalamiko kutoka kwa wapinzani na hata washirika wa kisiasa wa Macron
Baraza la mawaziri lilitarajiwa kufanya kikao chake cha kwanza Jumatatu mchana, lakini mpangilio huo mpya wa serikali umeibua mvutano mkubwa katika duru za siasa za Ufaransa
Lecornu, ambaye hapo awali alihudumu kama Waziri wa Ulinzi, alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Macron ndani ya kipindi cha miaka miwili, jambo linaloashiria misukosuko ya kisiasa inayomkabili rais huyo katika juhudi zake za kuimarisha utawala wake
Soma pia Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amteua Waziri wa Ulinzi Sebastien Lecomu kuwa Waziri Mkuu
French Prime Minister Sebastien Lecornu has stepped down just weeks after taking office, further deepening the country’s political crisisThe French presidency said in a statement on Monday that President Emmanuel Macron has accepted his close ally’s resignation