Usifananishe nchi za binadamu na nchi za manyani yaani shithole counties.Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.
Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …
Anaondoka
View attachment 2393594
Siababu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Lizz aombe uraia Tanzania na ajiunge CCM kisha 2025 agombee urais na atakuwa rais kisha ale mshahara wake, poa tu.Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.
Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …
Anaondoka
View attachment 2393594
Siajabu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Ili uwe raisi wa Bongolad lazima uwe raia kwa kuzaliwa...Lizz aombe uraia Tanzania na ajiunge CCM kisha 2025 agombee urais na atakuwa rais kisha ale mshahara wake, poa tu.
Hayo unayasema wewe, kwa CCM lolote wanalolitaka linawezekana na limewahi kutokea kwa wageni kuwa viongozi wa CCM, hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM.Ili uwe raisi wa Bongolad lazima uwe raia kwa kuzaliwa...
Jpm ndo alianzisha hii tabia ya kudhalilisha watu. Alimsimanga jk weeeeee baba watu akanyamaza. Akaona haitoshi akaamua kumtafa kumuua kwakutumia kikosi kazi. Jk akaona aanze kusafili ovyoovyo nje ili asimpate baada ya kutonywa na kangi lugola. Akaona amalizie hasira kwa kumuua Ben mkapa. Ee mungu tunakushukuru kutuondolea lile jibwa Mana lingemaliza Kila anayekinzana naye na angejikuta amebaki peke yake ananiongoza mwenyewe.Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.
Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …
Anaondoka
View attachment 2393594
Siajabu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Mkapa aliingi Tanganyika akiwa akiwa na miaka mitano akitokea kwao Msumbiji na hakuwahi kuukana usumbiji wake lakini alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka kumi.Ili uwe raisi wa Bongolad lazima uwe raia kwa kuzaliwa...
Ni kweli lakini hebu tujikumbushe, si marehemu ndiye alianzisha huu utaratibu?Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris akarudi, hiyo ndiyo high IQ kujua kwamba kuna kesho.
Watawala na wenye Power Tanzania wanafikiri wanaijua kesho yao, wanatukana na kukejeli mpaka marehemu, …
Anaondoka
View attachment 2393594
Siajabu Johnson kurudi hakuna vita wala kudhalilishana
View attachment 2393595
Hapa kwetu siasa ni kazi ya kudumu ndio maana kila uhalifu unatumika kumdhibiti yule anqyedhaniwa mpinzani wa mwanasiasa fulani.Wazungu wametuacha mbali sn
Watu wote waliolala kwenye ardhi ya Tanganyika usiku wa kuamkia 9 Dec 1961, walihesabika kuwa na uraia wa Tanganyika.Mkapa aliingi Tanganyika akiwa akiwa na miaka mitano akitokea kwao Msumbiji na hakuwahi kuukana usumbiji wake lakini alikuwa Rais wa Tanzania kwa miaka kumi.
Wapo ajili ya kupiga pesaHapa kwetu siasa ni kazi ya kudumu ndio maana kila uhalifu unatumika kumdhibiti yule anqyedhaniwa mpinzani wa mwanasiasa fulani.