Waziri mkuu wa Uingereza atua Kenya, kusaini makubaliano ya walioficha hela uingereza kurudishwa

Waziri mkuu wa Uingereza atua Kenya, kusaini makubaliano ya walioficha hela uingereza kurudishwa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Teresa May amewasili leo nchini Kenya ikiwa ni muendelezo wa ziara yake barani Afrika, Bi May anatarajia kusaini makubaliano na Serikali ya Kenya kurejesha mabilioni ya pesa yaliyotoroshwa na kupelekwa Uingereza kinyume cha sheria. #KwanzaHabari
 
Back
Top Bottom