Waziri Mkuu wa zamani Uingereza aendesha lori kwenda kutoa misaada kwa wakimbizi wa Ukraine

Waziri Mkuu wa zamani Uingereza aendesha lori kwenda kutoa misaada kwa wakimbizi wa Ukraine

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine

Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi Mradi wa Chippy Larder, ambao amekuwa akihusika nao kwa miaka miwili iliyopita.

Cameron ameweka picha na video Twitter kisha kuandika: "Tunatarajia itakuwa safari ndefu lakini nitakuwa nikiwajulisha kinachoendelea."

FOJf7ILWYAEEcfZ.jpg

Source: BBC

====================================


Ex-PM David Cameron driving ‘small lorry’ to Poland with supplies for refugees

Former Prime Minister David Cameron is on his way to Poland to deliver donations to Ukrainian refugees.

In a series of tweets, the ex-Tory leader revealed he was driving a lorry to the country with goods collected by Oxfordshire food project Chippy Larder.

He said it was filled "with everything from nappies to sanitary products, warm clothes to first-aid kits".

Mr Cameron and two colleagues from the charity will give the donations to the Red Cross when they reach Poland.

He wrote: "It's going to be a long drive, but I'll keep you updated along the way."

Mr Cameron said that Chippy Larder - where he has been volunteering for two years and which provides low-cost food to people in Chipping Norton - began its own collection two weeks ago.

He posted videos on Twitter of the donations, writing: "In the last fortnight we've appealed for the things that refugees from Ukraine need as they arrive in Poland. The response has been amazing."

The former PM added: "The generosity of the community in West Oxfordshire - and of the British people more generally - has been typically phenomenal, stepping up to help our neighbours in their hour of need."
 
Msaada wa maana ambao wangeipatia Ukraine ilikuwa kumshauri Zelensky MAPEMA aheshimu mikataba ya kimataifa na kuepusha vifo, maumivu na mateso ya raia wasio na hatia.

It's very sad that Zelensky was promising goodwill to the Russian people while secretly negotiating deadly alliance with the people of AMERICANATO!
 
Back
Top Bottom