permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Inawezekana iwe ni kweli anaenda ila hii picha ni zile za awali kabla ya safari. Kwenye ufunguo ni mbali, angalia hata mlango wa gari uko wazi. Mkuu au ulitaka zile ana overtake barabarani? napo tuanze kuuliza mpiga picha alikuwa kasimama wapi?.Hata mimi nimeona hii nikawa najiuliza hili gari litaendaje?
Walioandaa propaganda wamefeli kuifanya ifanane na ukweli