P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Mar 19, 2022 #21 Libertatem Pugnator said: Hata mimi nimeona hii nikawa najiuliza hili gari litaendaje? Walioandaa propaganda wamefeli kuifanya ifanane na ukweli Click to expand... Inawezekana iwe ni kweli anaenda ila hii picha ni zile za awali kabla ya safari. Kwenye ufunguo ni mbali, angalia hata mlango wa gari uko wazi. Mkuu au ulitaka zile ana overtake barabarani? napo tuanze kuuliza mpiga picha alikuwa kasimama wapi?.
Libertatem Pugnator said: Hata mimi nimeona hii nikawa najiuliza hili gari litaendaje? Walioandaa propaganda wamefeli kuifanya ifanane na ukweli Click to expand... Inawezekana iwe ni kweli anaenda ila hii picha ni zile za awali kabla ya safari. Kwenye ufunguo ni mbali, angalia hata mlango wa gari uko wazi. Mkuu au ulitaka zile ana overtake barabarani? napo tuanze kuuliza mpiga picha alikuwa kasimama wapi?.
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,647 Reaction score 9,604 Mar 19, 2022 #22 Et souce :BBC hawa jamaa pumbafu sana Wamemwingiza mwenzao vitan sasa wanatupia picha za michongo kujipatia umaarufu
Et souce :BBC hawa jamaa pumbafu sana Wamemwingiza mwenzao vitan sasa wanatupia picha za michongo kujipatia umaarufu
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Mar 19, 2022 #23 Waterloo said: Hiyo misaada inaishiaje Poland kwanini asifikishe mzigo Ukraine? Click to expand... Ili akutane akasalimiane na missiles za Putin? Sent using Jamii Forums mobile app
Waterloo said: Hiyo misaada inaishiaje Poland kwanini asifikishe mzigo Ukraine? Click to expand... Ili akutane akasalimiane na missiles za Putin? Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,267 Reaction score 1,643 Mar 19, 2022 #24 Unaendesha Kilori tu mpaka upigwe picha,Wazungu nao wana Kiki za Kijinga.
chazachaza JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 2,829 Reaction score 3,835 Mar 19, 2022 #25 Huyu kunguni ,si aingie Hadi Ukraine maana wahanga wapo Ukraine ,ataishi aje njiani !!
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Mar 19, 2022 #26 emmanuel alden said: Sawa, lakin mbona Funguo hamna. Au hilo gari linatembea bila fungua kuwepo. Hio picha imekaa kimchongo sana. Click to expand... Tabia za wanasiasa zinafanana duniani kote 🤣🤣🤣
emmanuel alden said: Sawa, lakin mbona Funguo hamna. Au hilo gari linatembea bila fungua kuwepo. Hio picha imekaa kimchongo sana. Click to expand... Tabia za wanasiasa zinafanana duniani kote 🤣🤣🤣