Mahakama ya Korea Kusini imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu, Han Duck-soo, kifungo cha miaka 23 jela kwa makosa yaliyohusisha uasi wa kikatiba, yakihusiana na tamko la sheria ya kijeshi lililotolewa na aliyekuwa Rais Yoon Suk Yeol Desemba 2024. Han (76) amekuwa waziri wa kwanza wa zamani katika baraza la mawaziri kupokea hukumu ya mahakama kwa makosa ya jinai yanayohusishwa moja kwa moja na sheria ya kijeshi, hatua ambayo wataalamu wa sheria wanasema inaweza kuwa ishara muhimu kwa kesi nyingine zinazoendelea.
Han ni mtendaji mkongwe wa serikali aliyewahi kushika nyadhifa za juu chini ya marais watano tofauti. Aliteuliwa kuwa rais kaimu baada ya Yoon kuondolewa madarakani kwa kura ya bunge, kabla yeye mwenyewe pia kung’olewa madarakani kwa tuhuma za kumsaidia Yoon kutangaza sheria ya kijeshi. Hata hivyo, Mahakama ya Katiba ilibatilisha uamuzi wa kumwondoa madarakani, na kumrejeshea mamlaka ya kuiongoza nchi, kabla hajajiuzulu ili kugombea urais katika uchaguzi wa ghafla uliofanyika Juni, ambapo baadaye alijiondoa kutokana na migawanyiko ndani ya kambi ya wahafidhina.
Kwa upande wake, Rais wa zamani Yoon Suk Yeol, anayekabiliwa na kesi nane tofauti, alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela wiki iliyopita kwa makosa yakiwemo kuzuia juhudi za kukamatwa kwake baada ya kutangazwa kwa sheria ya kijeshi, huku akiwasilisha rufaa. Anatarajiwa kupokea uamuzi mwingine tarehe 19 Februari kuhusu shtaka zito zaidi la “kuongoza njama ya uasi,” ambapo waendesha mashtaka wameomba adhabu ya kifo, ingawa Korea Kusini haijatekeleza adhabu hiyo tangu mwaka 1997.
Soma pia Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ahukumiwa kwenda miaka 5 jela
=============
A South Korean court jailed former Prime Minister Han Duck-soo for 23 years on Wednesday, on charges that included insurrection relating to ex-President Yoon Suk Yeol's declaration of martial law in December 2024.
Han, 76, is the first former cabinet minister to be handed a ruling by a court on criminal charges directly related to martial law, which legal experts have said could prove a bellwether for other trials.
The ruling on Han's case will be made on January 21, the court said.
"We believe severe punishment of the defendant (Han) is inevitable to prevent such an unfortunate history from being repeated," one of the prosecutors said on Wednesday.
Han has been charged with aiding and abetting Yoon's role as a "ringleader of an insurrection" that declared an illegal emergency martial law. According to the charge, Han was obliged to check the president's arbitrary abuse of authority as prime minister, the "second-in-command in state affairs."
"The moment the president said he would declare emergency martial law that night, I was shocked beyond words," Han said, likening that moment to the ground crumbling off a cliff.
"The more I try to recover the confused memories of that night, the more I feel hopeless that I fell short. I must bear that pain until the day I die."
One of his lawyers said Han regretted not trying to stop Yoon more strongly or even physically, but that did not mean Han had abetted Yoon. Another of his lawyers asked that Han's age and his wife's poor health be taken into account if the court did find him guilty despite his innocence.
Han, 76, is an experienced technocrat who served in senior posts under five presidents. He became acting president after Yoon was impeached, before he too was impeached over accusations that he had aided Yoon in the martial law declaration.
The Constitutional Court overturned Han's impeachment, restoring his powers to serve as leader before he resigned from the post to run in a snap election in June. He ended his bid for the presidency following rifts among conservatives.
Yoon, who is undergoing a separate trial on charges that include acting as a "ringleader of an insurrection", faces the death penalty or life imprisonment if found guilty.
South Korea has not carried out a death penalty since 1997.
Source: Reuters

'I FELL SHORT'
Han has denied the main charges he faces, saying on Wednesday that while he regretted not being able to stop Yoon declaring martial law, he "never agreed to it or tried to help.""The moment the president said he would declare emergency martial law that night, I was shocked beyond words," Han said, likening that moment to the ground crumbling off a cliff.