Sina taarifa za tukio maana haipo kwenye vituo maalum vya habari, ila hapo naona picha moja gavana anafanya kampeni na nyingine picha ya choo, sasa kuziweka zote kwenye bandiko moja na kusema zinaendana ni ujuha.