Waziri mmoja nchini Kenya amefika kuzindua choo chenye thamani ya laki tano akiwa ndani V8

Tatizo manyang'au wanajiona kama US of A ya Africa, delusional zombies...
 
Sasa kiongozi tueleze hapo tukio lilikuwa linahusu nini?

Sina taarifa za tukio maana haipo kwenye vituo maalum vya habari, ila hapo naona picha moja gavana anafanya kampeni na nyingine picha ya choo, sasa kuziweka zote kwenye bandiko moja na kusema zinaendana ni ujuha.
 
Hebu tuonyeshe picha akizindua hicho choo. Wabongo wanaumwa sana na Kenya.
 
Sina taarifa za tukio maana haipo kwenye vituo maalum vya habari, ila hapo naona picha moja gavana anafanya kampeni na nyingine picha ya choo, sasa kuziweka zote kwenye bandiko moja na kusema zinaendana ni ujuha.
Ok.
 
Back
Top Bottom