Waziri mmoja nchini Kenya amefika kuzindua choo chenye thamani ya laki tano akiwa ndani V8

Wapi hasira hapo, mbona nimeiweka sawa tu, nia ilikua kurekebisha hayo mawazo finyu ya ndugu zako.
Ni kweli madhaifu yetu tunayajua na nyie ya kwenu muyakubali msiwe na hasira mkuu
 
Kama Wakenya ni Wajinga na Watanzania ni Wajinga na kama Watanzania ni Wajinga na Wakenya ni Wajinga tunafanana tabia desturi na Kila kitu ukiwa Masali ,Kericho Kisii ni Sawa na mtu aliye Ushirika Tukuyu au mbinga nk Hamna mwenye haki ya kuona mwingine mjinga zaidi
Hatufanani hata! Think careful, utajua namaanisha nini nikisema hatufanani.
 
Ni kweli madhaifu yetu tunayajua na nyie ya kwenu muyakubali msiwe na hasira mkuu

Madhaifu tunayo tena yanayokera kisenge, ila yanafaa yatajwe kama yalivyo sio kuongeza wala kupunguza.
 
Mnawacheka majirani alafu baada ya muda kituko kinatokea na huku kwenu mkiambiwa mnaaza kuandika insha
 
Ni vizuri kushirikisha " good practices" kama majirani ili tujifunze na kujirekebisha pale tunapokosea kwa lengo la kwenda mbele.
 
Tatizo umeleta uzi kimahaba mahaba hujakaa utulie uelewe taarifa ili uandike vizuri kitu cha kueleweka.
Umesema waziri ilhali picha iliyobandikwa na Mkenya inasema gavana, pili sio kwamba ikibandikwa na Mkenya basi ndio inapata uhalali, maana haijaja kupitia kituo maalum cha habari, mtu kabandika tu mapicha ambayo hayaonekani kuendana.

Kingine, fahamu kwetu mawaziri hawajihusishi na mambo madogo madogo ya ovyoo, sio kama kwenu nchi ya ajabu ajabu waziri mzima mwenye dhamana ya uwaziri nchi yote, anayeitwa Lugola bila aibu anamtetea Gwajima kuhusu mambo ya kipumbavu ambayo wenyewe tuliona video kabisa.
Kuna kipindi nilishangaa waziri Mwakyembe anaingilia bifu la wasanii, anaagiza Dudu Baya atiwe ndani kisa amemkosoa marehemu Ruge, upumbavu sana kwa waziri ambaye anategemewa kujishughulisha na mambo muhimu ya kuendeleza nchi anapoteza muda wake kukimbizana na wasanii huku akiwafunga jela.
Hayo tu ni matukio machache, kuna mengine mengi ya ovyoo nikiandika humu nitajaza server za watu bure.
Ktk wakenya wewe unauelewa mzuri wa kuripoti mambo kwa ujumla umekiri kuwa
1. Kiongozi amezindua japo ameripotiwa wadhifa tofauti.
2. Choo kimezinduliwa
Jambo ambalo utariweka vizuri lisijekukosewa tena ni hili
Mara nyingi wanapozindua miradi ya maji mzinduaji hufungua bomba.
Kama ni umeme huwasha huo umeme .n.k
Sasa aliyezindua choo hiki alikunya yeye au muwakilishi? Isije kupotoshwa
 
Hehehe hilo swali lako sina jibu lake, ila hamna sehemu nimekiri uhalali wa hizi taarifa, hayo mapicha hayaendani.
 
Huwa nashindwa kuelewa utamaduni wa Kenya kwa kweli
Mara nyingi hufanya mambo ya kitoto bila wao kujishtukia
Labda wamekulia katika mazingira magumu sana ndio maanaView attachment 1101359
Huwezi kuona hiki kituko hata kule kongo
Dah! Kweli bongolala ni bongolala tu. Mnasikitisha sana. Hizo picha ni tofauti. Ya kwanza anafanya kampeni na ya pili sioni choo kikizinduliwa. Huyo mkenya alikuwa anajifurahisha mtandaoni akijaribu Ku connect the two pics
 
Ni vizuri kushirikisha " good practices" kama majirani ili tujifunze na kujirekebisha pale tunapokosea kwa lengo la kwenda mbele.

I like this Dr Mumbi, eti nasikia ni ndugu ya Jenerosa Mzalendo wa JF, tunakuomba Jenerosa na wewe ubadilike uwe kama dada yako Dr Mumbi-🙂

@Jenerosa Mzalendo
 
Kwa sababu wakenya wanapenda kukata gogo

Ova
 
Hii kitu imepostiwa na wakenya wenzako, wajinga ni hao wakenya wenzako na huyo waziri na wewe pia ni jinga.

Mimi hudharau sana wale watu wa forwarded as received. Hawana akili.

Mwanzilishi wa fake news huwa mtu mwenye akili, na agenda. Anajua kwamba wajinga watafanya kazi.
 
Basi hiyo site yenu ya kikenya ilorusha habari imejaa wajinga na ma lofa tu.
 
Tatizo umeleta uzi kimahaba mahaba hujakaa utulie uelewe taarifa ili uandike vizuri kitu cha kueleweka.
Umesema waziri ilhali picha iliyobandikwa na Mkenya inasema gavana, pili sio kwamba ikibandikwa na Mkenya basi ndio inapata uhalali, maana haijaja kupitia kituo maalum cha habari, mtu kabandika tu mapicha ambayo hayaonekani kuendana.

Kingine, fahamu kwetu mawaziri hawajihusishi na mambo madogo madogo ya ovyoo, sio kama kwenu nchi ya ajabu ajabu waziri mzima mwenye dhamana ya uwaziri nchi yote, anayeitwa Lugola bila aibu anamtetea Gwajima kuhusu mambo ya kipumbavu ambayo wenyewe tuliona video kabisa.
Kuna kipindi nilishangaa waziri Mwakyembe anaingilia bifu la wasanii, anaagiza Dudu Baya atiwe ndani kisa amemkosoa marehemu Ruge, upumbavu sana kwa waziri ambaye anategemewa kujishughulisha na mambo muhimu ya kuendeleza nchi anapoteza muda wake kukimbizana na wasanii huku akiwafunga jela.
Hayo tu ni matukio machache, kuna mengine mengi ya ovyoo nikiandika humu nitajaza server za watu bure.
Sasa kiongozi tueleze hapo tukio lilikuwa linahusu nini?
 
Huwa nashindwa kuelewa utamaduni wa Kenya kwa kweli
Mara nyingi hufanya mambo ya kitoto bila wao kujishtukia
Labda wamekulia katika mazingira magumu sana ndio maanaView attachment 1101359

Huwezi kuona hiki kituko hata kule kongo

ahaa haaa
kumbe wana bidiii

Choo.jpeg
 
Back
Top Bottom