King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
ππππππLisu yuko kimya
Jiheshimu pimbi weweπ¦‘π¦‘𦑠pesa kidogo tu umeanza kutukana watanzania?! π€π€ Kama una hela siuhame bongo ππMtu anayelipia ving'amuzi vya tanzania sijui ninamuonaje kwakweli. Yaani unalipia hayo uangalie ma channel ya bongo na mamipira ya bongo hivi hamuoni kinyaa
pimbi mwenyeweJiheshimu pimbi weweπ¦‘π¦‘𦑠pesa kidogo tu umeanza kutukana watanzania?! π€π€ Kama una hela siuhame bongo ππ
Wengi hawana TV au dishi la Azam kwahiyo wanaona ni sawa.Upo sawa kichwani kweli? Leo ukiuziwa saruji 100000 mfuko1 kwakuwa ni biashara ya mtu utaona ni Sawa? Nyie ndiyo majinga mliopo nchini. Serikali kazi yake ni ku regulate na ku control inflation ili wananchi wapate huduma kwa bei nafuu.
Ni sawa. Kila nchi ina utaratibu wake.Lakini hii si ni Biashara binafsi...!!!
Toka hapo kwenu ujitegemee. Acha kula ugali wa shikamooKAma unaona bei kubwa sepa Azam bana
Hayo maisha unaona upo sawa? Umeshindwa kulipa kifurushi cha Azam na unaona sawa kulipia 500 banda umiza. πππππTokea nimenunua dish la Azam na kujiunga kifurushi kwa mara ya kwanza, sijawahi kununua Tena π π π π mipira yote vibanda umiza jero tu inatosha. Kupanga ni kuchagua
Ingekuwa hivyo kila mtu angejipangia bei yake kwasababu ni biashara binafsi.Yaani mtu amewekeza na biashara yake alafu unataka kumpangia bei ? Kweli haya ni maajabu, wakati huo huo walamba asali na watumishi wote na wanasiasa unaowalipa kwa kodi zako wanafanya wanavyotaka na bado unawaita waheshimiwa ?
You can not eat your cake and still have it..., Huyo Azam na Biashara yake wala hakukuomba mkopo hata akitaka afanye bilioni hamsini kwa dakika ni uamuzi wake na wewe anzisha yako uweke bei unayopenda
Kwa maboresho gani?Kwa maboresho yale wanastahili kupandisha tu
Supply na demand ingerekebisha na kwenye hizi luxury kama unaona yeye anachaji pesa nyingi na kuna fursa unayoweza wewe kupata kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwanini usianzishe yako..., kama vipi washauri kwenye kingamuzi chao na TV ya UMMA ambayo inapewa ruzuku kwa kodi zako ifanye unayotaka wewe (TBC una Shares) ni Mali ya UMMA huyo Azam achana nae sababu hujui vitabu vyake wala target zake za faidaIngekuwa hivyo kila mtu angejipangia bei yake kwasababu ni biashara binafsi.
Moja Nishati, Maji na Usafiri ni huduma na ndio maana through kodi zetu tunataka vitu kama Train, Meli viwe bei affordable sababu we are stake holders na pesa zetu zinachukuliwa kwenda huko, ndio maana kila siku huwa nasema hata SGR iwe bei sawa na daladala watu waweze kuishi Morogoro na kufanya kazi Dar....Hata bei ya nauli kwenda huko kijijini kwenu ungekuwa unatumia milion 2 kufika.
Acha elfu 50 hata mtu akitaka auze trillioni so long as wengine hawakatazwi kuanzisha kiwanda wagawe hata bure...Mfuko wa Cement ungekuwa unauzwa 1 ni 50,000 si kila mtu anajipangia.
Kawaida ni nini na nani anachagua hio kawaida ? Kama ni National Housing ambao msingi wake kwa kutumia kodi zetu ilikuwa ni kuleta affordable housing na laki mbili sio affordable basi hii sio sawa, ila kama mtu amejenga mwenyewe na anajua gharama zake hata akitaka achaji kwa sekunde yeye ndio anajua value ya nyumba yake na wewe haulazimishwi kwenda kwake unaweza kwenda pengine (au serikali yako irudishe national housing kama ilivyokuwa mipango yake na sio kuibadilisha kuwa genge la madalali)Chumba cha kawaida kingekuwa kinapangishwa kwa laki 2.
Ndio maana kuna ushindani na hii kupanga bei kwa TCRA ndio kumesababisha bundle kupanda as kila mtandao unacheza kwenye bei elekezi1GB ingekuwa inauzwa 30,000 na bando la chini kabisa ni 500mb nazo ni 15,000. Unaonaje?
Tanzania kuna wajinga wengi sana nimeona.Supply na demand ingerekebisha na kwenye hizi luxury kama unaona yeye anachaji pesa nyingi na kuna fursa unayoweza wewe kupata kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwanini usianzishe yako..., kama vipi washauri kwenye kinamgamuzi chao na TV ya UMMA ambayo inapewa ruzuku kwa kodi zako ifanye unayotaka wewe (TBC una Shares) ni Mali ya UMMA huyo Azam achana nae sababu hujui vitabu vyake wala target zake za faida
Moja Nishati, Maji na Usafiri ni huduma na ndio maana through kodi zetu tunataka vitu kama Train, Meli viwe bei affordable sababu we are stake holders na pesa zetu zinachukuliwa kwenda huko, ndio maana kila siku huwa nasema hata SGR iwe bei sawa na daladala watu waweze kuishi Morogoro na kufanya kazi Dar....
Acha elfu 50 hata mtu akitaka auze trillioni so long as wengine hawakatazwi kuanzisha kiwanda wagawa hata bure...
Kawaida ni nini na nani anachagua hio kawaida ? Kama ni National Housing ambao msingi wake kwa kutumia kodi zetu ilikuwa ni kuleta affordable housing na laki mbili sio affordable basi hii sio sawa, ila kama mtu amejenga mwenyewe na anajua gharama zake hata akitaka achaji kwa sekunde yeye ndio anajua value ya nyumba yake na wewe haulazimishwi kwenda kwake unaweza kwenda pengine (au serikali yako irudishe national housing kama ilivyokuwa mipango yake na sio kuibadilisha kuwa genge la madalali)
Ndio maana kuna ushindani na hii kupanga bei kwa TCRA ndio kumesababisha bundle kupanda as kila mtandao unacheza kwenye bei elekezi
Sakata la Bundles - Suluhisho
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...www.jamiiforums.com
Wataalamu wa uchumi na Biashara wanasema ni soko huria/uria. Kwa hiyo, soko lenyewe litawatema wafanyabiashara. Vinginevyo, hao wafanyabiashara labda wawe wametengeneza cartel ambayo ni kosa kisheria.Ni sawa. Kila nchi ina utaratibu wake.
Unaonaje na wenye mabasi wapandishe nauli. Kutoka Dar mpaka morogoro ni 50,000
1GB iuzwe 10,000. Debe la mahindi liwe 30,000.
Tv inchi 32 iuzwe milion 1?
Kuna kipi cha maana kimeongezeka Azam TV? Toka hapo kwa wazazi ujitegemee
Kuna mhindi mmoja alisema.Wataalamu wa uchumi na Biashara wanasema ni soko huria/uria. Kwa hiyo, soko lenyewe litawatema wafanyabiashara. Vinginevyo, hao wafanyabiashara labda wawe wametengeneza cartel ambayo ni kosa kisheria.
πππpimbi mwenyewe
Sawa ambae sio chawa,Ww sio Waziri Wala SSB,funga mdomo wako, uchawa sio kwenye Kila jambo.