Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

Soko huria - Free Market Economy

Maisha ya katalizimu ,mwenye degree anamsikiliza mwenye zero.
 
Kama hamjui wametoa taarifa ya kupandisha bei ya ving'amuzi vyao tuliokuwa tunalipia shs 25,000 kwa mwezi sasa tutalipia shs 28,000 kwa mwezi ngumu kumeza!
 
Mtu anayelipia ving'amuzi vya tanzania sijui ninamuonaje kwakweli. Yaani unalipia hayo uangalie ma channel ya bongo na mamipira ya bongo hivi hamuoni kinyaa
Jiheshimu pimbi wewe🦡🦡🦡 pesa kidogo tu umeanza kutukana watanzania?! 🤔🤔 Kama una hela siuhame bongo 😏😏
 
Upo sawa kichwani kweli? Leo ukiuziwa saruji 100000 mfuko1 kwakuwa ni biashara ya mtu utaona ni Sawa? Nyie ndiyo majinga mliopo nchini. Serikali kazi yake ni ku regulate na ku control inflation ili wananchi wapate huduma kwa bei nafuu.
Wengi hawana TV au dishi la Azam kwahiyo wanaona ni sawa.
Mtu ana dishi la Azam hajanunua kifurushi anaona sawa kwenda kuangalia kweny banda umiza.
Kipindi kile dishi alikuwa anauza mpaka laki 2 na 30.
Usipotajirika Tanzania, hakuna nchi nyingine unaweza kutajirika. Ukitoa channel za mpira, hakuna channel za maana Azam TV
 
Lakini hii si ni Biashara binafsi...!!!
Ni sawa. Kila nchi ina utaratibu wake.
Unaonaje na wenye mabasi wapandishe nauli. Kutoka Dar mpaka morogoro ni 50,000
1GB iuzwe 10,000. Debe la mahindi liwe 30,000.
Tv inchi 32 iuzwe milion 1?
Kuna kipi cha maana kimeongezeka Azam TV? Toka hapo kwa wazazi ujitegemee
 
Yaani mtu amewekeza na biashara yake alafu unataka kumpangia bei ? Kweli haya ni maajabu, wakati huo huo walamba asali na watumishi wote na wanasiasa unaowalipa kwa kodi zako wanafanya wanavyotaka na bado unawaita waheshimiwa ?

You can not eat your cake and still have it..., Huyo Azam na Biashara yake wala hakukuomba mkopo hata akitaka afanye bilioni hamsini kwa dakika ni uamuzi wake na wewe anzisha yako uweke bei unayopenda
 
Tokea nimenunua dish la Azam na kujiunga kifurushi kwa mara ya kwanza, sijawahi kununua Tena 😂 😂 😂 😂 mipira yote vibanda umiza jero tu inatosha. Kupanga ni kuchagua
Hayo maisha unaona upo sawa? Umeshindwa kulipa kifurushi cha Azam na unaona sawa kulipia 500 banda umiza. 😁😁😁😁😁
 
Yaani mtu amewekeza na biashara yake alafu unataka kumpangia bei ? Kweli haya ni maajabu, wakati huo huo walamba asali na watumishi wote na wanasiasa unaowalipa kwa kodi zako wanafanya wanavyotaka na bado unawaita waheshimiwa ?

You can not eat your cake and still have it..., Huyo Azam na Biashara yake wala hakukuomba mkopo hata akitaka afanye bilioni hamsini kwa dakika ni uamuzi wake na wewe anzisha yako uweke bei unayopenda
Ingekuwa hivyo kila mtu angejipangia bei yake kwasababu ni biashara binafsi.
Hata bei ya nauli kwenda huko kijijini kwenu ungekuwa unatumia milion 2 kufika.
Mfuko wa Cement ungekuwa unauzwa 1 ni 50,000 si kila mtu anajipangia.
Chumba cha kawaida kingekuwa kinapangishwa kwa laki 2.
1GB ingekuwa inauzwa 30,000 na bando la chini kabisa ni 500mb nazo ni 15,000. Unaonaje?
 
Kwa maboresho yale wanastahili kupandisha tu
Kwa maboresho gani?
Unaonaje na bei za data, sms na call wakapandisha? Ni biashara binafsi
1Gb = 30,000 kwa mwezi
500mb = 15,000 kwa wiki 1
Sms 10,000 = 10,000 kwa mwezi
Dk 100 = 40,000 kwa wiki 1
Dk 50 = 20,000 24hrs
Kwasababu wa makampuni ya simu wamefanya maboresho ya 4G na 5G.
Tozo za miamala nazo wakaongeza?. Ukitoa 10,000 unakatwa 4,000. Ukimtumia mtu kupitia simu yako 10,000 unakatwa 2,000. Unlimited ni 1 milion kwa mwezi. Ni biashara binafsi. Unaonaje?
Mafuta nayo wakapandisha lita moja ya petrol ikawa 10,000 na diesel nayo ikawa 10,000?
 
Ingekuwa hivyo kila mtu angejipangia bei yake kwasababu ni biashara binafsi.
Supply na demand ingerekebisha na kwenye hizi luxury kama unaona yeye anachaji pesa nyingi na kuna fursa unayoweza wewe kupata kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwanini usianzishe yako..., kama vipi washauri kwenye kingamuzi chao na TV ya UMMA ambayo inapewa ruzuku kwa kodi zako ifanye unayotaka wewe (TBC una Shares) ni Mali ya UMMA huyo Azam achana nae sababu hujui vitabu vyake wala target zake za faida
Hata bei ya nauli kwenda huko kijijini kwenu ungekuwa unatumia milion 2 kufika.
Moja Nishati, Maji na Usafiri ni huduma na ndio maana through kodi zetu tunataka vitu kama Train, Meli viwe bei affordable sababu we are stake holders na pesa zetu zinachukuliwa kwenda huko, ndio maana kila siku huwa nasema hata SGR iwe bei sawa na daladala watu waweze kuishi Morogoro na kufanya kazi Dar....
Mfuko wa Cement ungekuwa unauzwa 1 ni 50,000 si kila mtu anajipangia.
Acha elfu 50 hata mtu akitaka auze trillioni so long as wengine hawakatazwi kuanzisha kiwanda wagawe hata bure...
Chumba cha kawaida kingekuwa kinapangishwa kwa laki 2.
Kawaida ni nini na nani anachagua hio kawaida ? Kama ni National Housing ambao msingi wake kwa kutumia kodi zetu ilikuwa ni kuleta affordable housing na laki mbili sio affordable basi hii sio sawa, ila kama mtu amejenga mwenyewe na anajua gharama zake hata akitaka achaji kwa sekunde yeye ndio anajua value ya nyumba yake na wewe haulazimishwi kwenda kwake unaweza kwenda pengine (au serikali yako irudishe national housing kama ilivyokuwa mipango yake na sio kuibadilisha kuwa genge la madalali)
1GB ingekuwa inauzwa 30,000 na bando la chini kabisa ni 500mb nazo ni 15,000. Unaonaje?
Ndio maana kuna ushindani na hii kupanga bei kwa TCRA ndio kumesababisha bundle kupanda as kila mtandao unacheza kwenye bei elekezi
 
Supply na demand ingerekebisha na kwenye hizi luxury kama unaona yeye anachaji pesa nyingi na kuna fursa unayoweza wewe kupata kwa kutoa huduma kwa bei rahisi kwanini usianzishe yako..., kama vipi washauri kwenye kinamgamuzi chao na TV ya UMMA ambayo inapewa ruzuku kwa kodi zako ifanye unayotaka wewe (TBC una Shares) ni Mali ya UMMA huyo Azam achana nae sababu hujui vitabu vyake wala target zake za faida

Moja Nishati, Maji na Usafiri ni huduma na ndio maana through kodi zetu tunataka vitu kama Train, Meli viwe bei affordable sababu we are stake holders na pesa zetu zinachukuliwa kwenda huko, ndio maana kila siku huwa nasema hata SGR iwe bei sawa na daladala watu waweze kuishi Morogoro na kufanya kazi Dar....

Acha elfu 50 hata mtu akitaka auze trillioni so long as wengine hawakatazwi kuanzisha kiwanda wagawa hata bure...

Kawaida ni nini na nani anachagua hio kawaida ? Kama ni National Housing ambao msingi wake kwa kutumia kodi zetu ilikuwa ni kuleta affordable housing na laki mbili sio affordable basi hii sio sawa, ila kama mtu amejenga mwenyewe na anajua gharama zake hata akitaka achaji kwa sekunde yeye ndio anajua value ya nyumba yake na wewe haulazimishwi kwenda kwake unaweza kwenda pengine (au serikali yako irudishe national housing kama ilivyokuwa mipango yake na sio kuibadilisha kuwa genge la madalali)

Ndio maana kuna ushindani na hii kupanga bei kwa TCRA ndio kumesababisha bundle kupanda as kila mtandao unacheza kwenye bei elekezi
Tanzania kuna wajinga wengi sana nimeona.
Kuna mhindi mmoja alisema usipotajirika Tanzania, hakuna nchi ambayo utaweza kutajirika
 
Ni sawa. Kila nchi ina utaratibu wake.
Unaonaje na wenye mabasi wapandishe nauli. Kutoka Dar mpaka morogoro ni 50,000
1GB iuzwe 10,000. Debe la mahindi liwe 30,000.
Tv inchi 32 iuzwe milion 1?
Kuna kipi cha maana kimeongezeka Azam TV? Toka hapo kwa wazazi ujitegemee
Wataalamu wa uchumi na Biashara wanasema ni soko huria/uria. Kwa hiyo, soko lenyewe litawatema wafanyabiashara. Vinginevyo, hao wafanyabiashara labda wawe wametengeneza cartel ambayo ni kosa kisheria.
 
Kuna mhindi mmoja alisema.
Usipo tajirika Tanzania, hakuna nchi nyingine ambayo unaweza kutajirika haraka kama Tanzania kwasababu kuna wajinga wengi
Nimeamini maneno ya mhindi😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom