gemseeker23
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 354
- 246
Upo sahihi kabisa japokuwa starehe ni gharama ila wanatoza gharama kubwa SanaKwani Azam wanapata ruzuku serikalini? Hii ni biashara ya mtu binafsi na mfanya biashara yoyote lengo ni faida. Haya mambo hayamuhusu waziri wala serikali ni maamuzi ya kampuni binafsi hata sokoni tunaenda tunakutana na bei mpya lakini tunanunua. Kwa Azam kama huliwezi ni kuhamia sehemu unayoweza hakuna aliyelazimishwa kununua.
Biashara huru, kwani walikulazimisha kutumia huduma zao?Azam wameleta VAR sasa wamepanga kutupandishia vifurushi vya ving'amuzi!
Hii si sawa bora wapate mpinzanj kwenye kuonesha ligi za nyumbani ili wasitunyanyase!
Umeandika kiswahili lakini nimepata ugumu kuelewaKwa hapa ndani ana competitors kama dstv , startimes , zuku n.k .zaidi ya dstv hakuna service provider mwengine hapo anaeweza kuwa programs alizonazo azam mshindani mkuu wake ni dstv ambaye watanzania wengi wameshindwa afford service unataka watu waende wapi?
Chini kivipi wakati wamepandisha bei za vifurushi kuanzia mwez ujaombona wako chini sana ndugu
bado ni nafuu lakiniChini kivipi wakati wamepandisha bei za vifurushi kuanzia mwez ujao
Bado hairidhishi mkuu, wafanye maboresho makubwaWatakwambia wameongeza Cheka Plus TV, Azam Sports 4 na kununua laliga kwa bei kubwa.
Kulinganisha na woteUmeandika kiswahili lakini nimepata ugumu kuelewa
So Bei ya Azam ipo chini kulinganisha na zuku? Startimes? Au kulinganisha na dstv?
Anaepata leseni ya kuonesha ligi ya ndani awe anapewa bei elekezi siyo kupandisha vifurushi kiholela kisa hatuna optionHivi nchi za wenzetu,ivi vitu ni gharama namna hii?? Vp na internet bundle??sema levels za maisha kwa apa bongo ni tofauti ukiwaza ulipe kodi ya nyumba,ulipie bills za umeme+maji,na vifurushi vya king'amuzi navyo kulipia😂😂
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000.
Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama blackmailing, hakuna media nyingine wanaowapa ushindani kwenye mpira kwa Sasa. Ongezeko hilo sio halisia na maisha ya wananchi, ajabu Mzawa mwenzetu anatunyonya kuliko wageni wawekezaji.
Mmesubiri home boy apigwe chini ndio mlete ongezeko! Waziri nakusihi, liangalie kwa jicho la wananchi wanyonge..
KWA MFANO KWA KILA MWENYE LAINI YA SIMU UKIKATA KIMYA KIMWA SH 100 UNAPATA SHILLING NGAPI?
Sio kweliKulinganisha na wote
Huwezi kulinganisha startime na AzamSio kweli
Umefanya research au kama kawaida yako? Azam gharama zipo chini kuliko startimes?