DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Sio kweli. Ali Kiba tupo nae hapa wasafi recordsKiba si nmesikia yupo bize anatunza ndugu zake pale kwenye mjengo wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli. Ali Kiba tupo nae hapa wasafi recordsKiba si nmesikia yupo bize anatunza ndugu zake pale kwenye mjengo wake.
Ilo sio kweliCyo hapendi sifa hana cha kujisifia
Ngoja tuangalieUjinga
Ni kama umeongea kila nililokuwa napanga kulisema. 😂Asante kwa taarifa na mimi nitakuwa hapo kwa ziara rasmi kuangalia washiriki kutoka Rwanda, Burundi na Uganda Wakenya sita watembelea hawana mvuto
Jamaa hapendagi tu show off.😂😂😂Ali kiba alipewa hizi taarifa za kualikwa tangu mwaka jana ila kwa sababu hapendi sifa ameamua kukaa kimya tu
Yuko poa sana yule mmanyemaJamaa hapendagi tu show off.[emoji23][emoji23][emoji23]
Chakula kitakuwepo?
Ndio, lakini cha kununua.
Hakuna kiingilio ni bure.
Lazima utakua fundi bomba mwenzetu weweAsante kwa taarifa na mimi nitakuwa hapo kwa ziara rasmi kuangalia washiriki kutoka Rwanda, Burundi na Uganda Wakenya sita watembelea hawana mvuto
Baba kasema inaanzia mwanzaFIESTA imepotelea wapi wadau?