Waziri Mwakyembe amemuomba Diamond Platnumz kubadilisha ratiba ya Wasafi Festival mkoani Iringa ili ahudhurie tamasha la JAMAFEST

Asante kwa taarifa na mimi nitakuwa hapo kwa ziara rasmi kuangalia washiriki kutoka Rwanda, Burundi na Uganda Wakenya sita watembelea hawana mvuto
Ni kama umeongea kila nililokuwa napanga kulisema. πŸ˜‚
 
Ivi iyo j'pili trh 22 sindio gemu letu na Sudan pale pale kwa mkapa
 
tamasha siku nane kwa hiyo platinumz kwa nini asiende siku ya pilu yake au hqta ya tatu?au wote wqtqtumbuiza kwa siku moja hiyo ya ufunguzi?
waanze ufunguzi na harmorapa.
amber ruty.mjomba .dudubaya.Kr.feroz .rayc.etc
mbona watu maarufu wengi tu
 
Asante kwa taarifa na mimi nitakuwa hapo kwa ziara rasmi kuangalia washiriki kutoka Rwanda, Burundi na Uganda Wakenya sita watembelea hawana mvuto
Lazima utakua fundi bomba mwenzetu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…