Waziri Mwakyembe asiwe msemaji wa Taifa Stars , aendelee kusimamia sera za chama chake

Waziri Mwakyembe asiwe msemaji wa Taifa Stars , aendelee kusimamia sera za chama chake

Kwenu hakuna zuri hata tukijadili hadi asubuhi. Lau asingeisemea bado ungelalama. Kwenu furaha ni watanzania kugawanyika

Kwa taaria yako hao viongozi wa ccm kuleta kiherehere kwenye timu ya taifa ndio gundu linapoanzia.
 
Back
Top Bottom