Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 18, 2018 Thread starter #41 kivyako said: Na ameanza kupenda soka baada ya kuwa waziri wa wizara husika, anajifunza kupenda soka Click to expand... Hajawahi kusaidia timu yoyote Kyela wala hata timu ya kijiji chake cha Ikolo
kivyako said: Na ameanza kupenda soka baada ya kuwa waziri wa wizara husika, anajifunza kupenda soka Click to expand... Hajawahi kusaidia timu yoyote Kyela wala hata timu ya kijiji chake cha Ikolo
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Nov 18, 2018 #42 babu na mjukuu said: Kwenu hakuna zuri hata tukijadili hadi asubuhi. Lau asingeisemea bado ungelalama. Kwenu furaha ni watanzania kugawanyika Click to expand... Kwa taaria yako hao viongozi wa ccm kuleta kiherehere kwenye timu ya taifa ndio gundu linapoanzia.
babu na mjukuu said: Kwenu hakuna zuri hata tukijadili hadi asubuhi. Lau asingeisemea bado ungelalama. Kwenu furaha ni watanzania kugawanyika Click to expand... Kwa taaria yako hao viongozi wa ccm kuleta kiherehere kwenye timu ya taifa ndio gundu linapoanzia.