Waziri Mwakyembe atafute sababu nyingine

😀😀
 
Maadui wa nchi ni ccm na chadema maana wote ni wanasiasa uchwara
 
Kwanza Arudishe local channel kwenye ving'muzi azama ,dstv...hili dogo hayo makubwa yataleta shida
Hivi no yeye kaziondoa akh huyu jamaa bwana. Saa kazipeleka wapi. Makampuni watapataje hela Sasa. Arudishe. Bhana.
 
Sion sababu ya kudanganya,angesema tu tumefanya changes ya usafiri,sidhani kama mtu yeyote angedoubt
Angekuja hivi Sasa ivi tungekuwa tunajadili mengine. Angekuwa muwazi akasema nimeingizwa Chaka tungeelewa mapema
 
Mmmh hii mada kama ameipitia nadhani atakumbuka sumu alopewaga kipindi kileee..
 
Nje ya mada! Hivi kuna uwezekano wa kwenda cameroon? Mana kama tumekamia safari hii! Mungu ibariki Taifa stars
 


Alipaswa yeye kutangaza issue inayomuhusu waziri wa uchukuzi?

Jibu ni SIO.
 
Alipaswa yeye kutangaza issue inayomuhusu waziri wa uchukuzi?

Jibu ni SIO.
HAPANAA MKUU

SAFARI ILE AIHUSU WAFANYAKAZI WA TANROADS INAHUSU MICHEZO SO ANA HAKI KABISA KUTANGAZA WANAENDAJE WAMEKWAMA WAPI NK..WAZOTU
 
KIDUMUU CHAMA.CHA.MAPINDUZI NA FIKRA ZA MWENYEKITIWETU
 
Anazuia local channel dstv na azam ila continental na Ting wanatoza na wameachiwa! Huyo ndio mwakyembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…