Waziri Mwakyembe atafute sababu nyingine

Waziri Mwakyembe atafute sababu nyingine

Akili ya kuwaza hivyo haipo, ni mizigo mizito, hata ukimuuliza Mwakyembe kwani ungesema mnafanya changes ya usafiri tu, kingeharibika nini!? na uhakika atakujibu, Hapa Kazi tu...hawajali ub😀ora wa kazi na viwango vyake...wao ni upuuzi wa propaganda umewajaa vichwani[emoji51][emoji51][emoji51]
😀😀
 
Mwakyembe atafute tu sababu nyingine ya kutudanganya. Hii 'porojo' ni ya kiwango cha chini sana!

Tangu awali tumesema kwamba kuipeleka Boeing 787-8 Dreamliner Praia ikiww tupu ni "ujinga" Lakini tulielezwa kwamba tunapinga kila kitu. Kwamba hatuipendi timu yetu ya Taifa.

Baadae mkaenda mbali na kutangaza nauli za kihayawani kwenda Praia. Mnasema kwenda Praia, Cape Verde utapaswa kulipa $2000 yaani nauli mara mbili zaidi ya kwenda Atlanta na kurudi DSM via Fly Emirates ($850)

Tuligoma kuitumia ndege hii kwa safari hii, ambayo equivalent ni hasara. Binafsi nilitoa ushauri wa msingi, kwanini tusikodishe hata Embraer E 195 E moja au Coastal Air 2 za kupeleka wachezaji wetu, zinafika na kurejea salama, kuliko kurusha Boeing 787-8 Dreamliner hewani kwa 'issue' hii. Mkasema 'tunapinga kila kitu'

Hapo ndio sehemu ambayo mlikosea tangu mwanzo. Yaani shabiki alipe $2000 kwenda Praia, halafu hajalipa gharama za hotel, kula na kuingia uwanjani? Bado mlitegemea kupata wateja? Mngelipeleka Dreamliner tupu na watu 35/290

Ok! Mwakyembe amekuja na sababu za kwanini wamehairisha kuipeleka Dreamliner Praia na badala yake wameamua kuchukua Embraer kubeba mashabiki wachache (kwa gharama zao) na 'staff' wa Taifa Stars. Sababu LAINI sana.

Mwakyembe anasema uwanja wa Praia (Nelson Mandela international Airport) ni uwanja mdogo kuliko uwezo wa kupokea Boeing 787-8 Dreamliner, hivyo itashindwa kuondoka hata ikifanikiwa kutua sababu 'runway' yake ni fupi.

Labda yupo sahihi. Lakini Tanzania inakwenda Cape Verde au inakwenda Praia? Kwanini wasingelikwenda SAL ulipo uwanja mkubwa (Amílcat Cabral) na kutua hapo? Kutoka SAL kwenda Praia ni dakika 23 kwa boti.

Mwakyembe atupe sababu nyingine, tutamwelewa tu. Lakini isiwe sababu ya kwamba Cape Verde hawana uwanja wa kupokea Dreamliner. Hajui kwamba SAL kuna uwanja wenye space shuttle na unaweza kutua na kuondoka bila tatizo lolote.

Wanatua British airways, Lufthansa, Air Canada, American Airline, Jet Blue, Wanatua viwanja vya Cape Verde na Boeing zao, Dreamliner inatua Airport ya Mwanza ishindwe kutua Cape Verde? Runaway ya Mwanza ni ndogo kuliko ya uwanja wa Amílcar Cabral.

Boeing 787 minimum runway need to land-down ni m2,300 (2.3kms) sasa bwana Mwakyembe kwa utaalam wake atueleze, katika kiwanja cha 3.2kms Dreamliner yetu ishindwe kutua? Au ni 'spesho' sana kuliko midege mingine yenye kutua hapo?

Mwakyembe atambue kwamba Amílcar Cabral runway yake ni 3.2kms (10,734ft) huu ndio mkubwa Cape Verde. Unatumika for long-haul flights. it's designated emergence landing Strips for the U.S space shuttle. Uwanja hadi una emergence landing, tushindwe kutua kweli?

Amílcar Cabral International Airport upo SAL Length Surface yake ni m3,272 na ft10,735 kwamba Dreamliner haitui hapo? Inaweza vipi kutua Mwanza kwenye length surface ya m3, 010 ft 9, 875? Mnatupiga sana porojo ninyi watu.

Mwambie huyo dingi aache uongo.. CAPE VERDE AIRLINES WANA BOEING MBILI na zinatua uwanja huo hapo Praia.. Kula na kulishwa propaganda. Wanayo Boeing 757-200 (200 passenger) na Boeing 767-200ER (290 passenger) mali ya Cabo Verde Airlines.

Boeing 767-300 of Delta Air Lines, the largest operator of the 767 inatua Amílcar Cabral International Airport... Tushindwe sie na Dreamliner kutua Carbo Verde? Labda kama tunajua SAL ipo Sao Tome.. Sal to Praia ni 30 Minutes tu.

Kwani lazima kutua PRAIA? Unatua hapo SAL na unakwenda Praia (23mins) kwa kutumia speed boat or Yacht.. Misri walikwenda Ghana mwaka 2014, wakatua Accra na kupelekwa Kumasi huko zaidi ya KM 1000 kucheza, Misri walipigwa goli 5. Kufuzu world cup!

Mwakyembe hizi soga angeendelea kupiga na Karia.. Sio kutoka nje na porojo.. Tatizo mnajua waswahili hawa ndio wale wa TAA na ASP.. they can't buy their time ask "why?" Afadhali mngesema inafanyiwa matengenezo ya wi-fi au subwoofer imekata moto. Au imekosa abiria, Tungeelewa!

Tatizo la nchi hii ni CCM na wafuasi wao. Leo wanashangilia Dreamliner kutokwenda Praia, Cape Verde lakini juzi wakati Mwakyembe anawapa taarifa walisema "ahsante JPM" na kuandika MATAGA kila sehemu. They just can't think anyhow!

Kuna tatizo kubwa nchi hii zaidi ya umaskini, maradhi na ujinga, nafikiri sasa tuongeze sehemu ya maadui wa nchi ni "wafuasi wa CCM na viongozi wao" ni Ajabu kuwa na "thinking" za namna hii.

Au tumeogopa 'mabeberu' wasije wakataifisha 'mwewe' wetu huko kwa marafiki wa mabeberu? Naelezwa kwamba hii pia ni hofu, Dreamliner inaweza kufanywa kama Bombardier kule Canada eeh? Tumesanukaa! Lakini sio kweli, hii sio sababu! Kidding!

#MMM
Maadui wa nchi ni ccm na chadema maana wote ni wanasiasa uchwara
 
Kwanza Arudishe local channel kwenye ving'muzi azama ,dstv...hili dogo hayo makubwa yataleta shida
Hivi no yeye kaziondoa akh huyu jamaa bwana. Saa kazipeleka wapi. Makampuni watapataje hela Sasa. Arudishe. Bhana.
 
Sion sababu ya kudanganya,angesema tu tumefanya changes ya usafiri,sidhani kama mtu yeyote angedoubt
Angekuja hivi Sasa ivi tungekuwa tunajadili mengine. Angekuwa muwazi akasema nimeingizwa Chaka tungeelewa mapema
 
Nje ya mada! Hivi kuna uwezekano wa kwenda cameroon? Mana kama tumekamia safari hii! Mungu ibariki Taifa stars
 
Msamehee tangu mwanzoo nilijua ameingizwa chakaa na wanasiasa ndiomaana sikutaka HATA kujibu ilepost kulinda chama changu ila mwishoo wasiku nkajua ukweli utarudi hewani HAKUNA jinsi tumshukuru hatakwa kujatena nakuelezea imeshindikana WENGINE wangeka KIMYA KABISA......

NI fursa nzuri siwezjmlaumu DK Bali naamini kabla ya kutangaza kitu hadhaaran nexty. watawasiliana na wahusika wandege kupaylta uhakika zaidi
Thx


Alipaswa yeye kutangaza issue inayomuhusu waziri wa uchukuzi?

Jibu ni SIO.
 
Alipaswa yeye kutangaza issue inayomuhusu waziri wa uchukuzi?

Jibu ni SIO.
HAPANAA MKUU

SAFARI ILE AIHUSU WAFANYAKAZI WA TANROADS INAHUSU MICHEZO SO ANA HAKI KABISA KUTANGAZA WANAENDAJE WAMEKWAMA WAPI NK..WAZOTU
 
KIDUMUU CHAMA.CHA.MAPINDUZI NA FIKRA ZA MWENYEKITIWETU
 
Anazuia local channel dstv na azam ila continental na Ting wanatoza na wameachiwa! Huyo ndio mwakyembe
 
Back
Top Bottom