Ni kweli tupo bongo bahati mbaya. Mpaka sasa kakataa kuajiri. Unafikiri mtu atakuwa mzalendo?
Kiukweli, siwezi kuwa mzalendo kwa nchi inayoitwa Tanzania.
Nimefurahi sana tena sana kwa timu za Tanzania kutolewa kwenye mashindano ya mpira. nimefurahi sana Tanzania kudraw leo. naomba ifungwe tu. Timu ovyo ovyo sana. Wachezaji wale wale kila siku. na sasa hivi timu nzima wanamtegemea Samata. shit! warudi kwanza wajinoe ndiyo waende kushiriki. wachezaji wenyewe walio wengi wanatoka simba na yanga,