Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Sanaa inatakiwa ipewe uzito unaostahili. ...ina mchango mkubwa kwa ustawi n.a. maendeleo ya Tanzania. Mbona tunaiacha kama mtoto asiye n.a. baba?
 
jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.
Tunajadili kitu gan wakat hata mtoa mada hajui chochote kilichopo kwny wimbo huo zaid ya kusikia tu maneno ya Wateja wake wa ubuyu
 
Jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.

Hata ukiwa Bongo unaweza kuishi kama mbele, kama huwezi kuelewa uandishi wa msanii mdogo kama Young Dee utaweza ng'amua kitu kutoka kwa Fid Q?
 
Kweli kabisa bongo bahati mbaya tu,,,bora Ulaya
 
Bro mi nakushauri endelea tu kuchomelea maubuyu yako, inawezekana na wewe uko bongo kwa bahati mbaya, ungekuwa kwenu huenda sasa hivi hata ubuyu usingeujua
 
Fantastic, marvelous and what a lovely song to listen.
 
Ni kweli lakini tupo bongo bahati mbaya Young Dee hajakosea
 
Ndio hata mimi nilikuja bongo bahati mbaya ndio maana nikarud zangu bush kulima, maana eti bong* inaongozwa na zero brain DAB(in gwajima voice)
 
Aisee kweli young amenikumbusha kitu niko bongo bahat mbaya soon nitarudi home Kenya hahaha.
 
Hivi hili neno Bongo limeshaingizwa kwenye kamusi kumaanisha ni mahala gani ama kitu gani!?
Najaribu kuuliza tu mtu umfungie halafu aende mahakamani ili wewe mfungiaji utoe tafsiri ya neno Bongo, utashinda?

Sioni tofauti na yale mawazo ya mheshimiwa liyesema Togo wazuiwe kutumia neno Jaza ujazwe!!

Young Dee wewe chapa kazi, nasema tena chapa kaziiii!!! Bongo tuko kwa bahati mbaya haswa!!
 
Back
Top Bottom