Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Waulize waliosingiziwa kesi, walio jela au wanakibiti watakujibu
 
Wimbo mkali sana ila wewe ndio hujauelewa na sidhani kama utafungiwa..

Vipi wale wanaoimba nyimbo za mapenzi je? utakuja kusema ukimwi hautaisha kwa sababu wanachochea mapenzi
 
Kwel mkuu Ukitaka kujua wako Bongo bahat mbaya subr waumwe au watoto wao wanawasomesha ulaya! Afu wewe umekaa unaimba Tz i love you with all my heart

Hapo sasa ndo mtu ataelewa maana ya huo wimbo.
 
Mtoa mada endelea kufunga ubuyu ukauze achana na song letu la BBM
 
Acheni ije zamu yangu " NITAINYOOSHA HII NCHI" watu kama hawa unawapeleka somalia wakae huko
 
Mi mwenyewe ingekuw kwenda Ulaya ni kama tunavyotoka Dar kwenda Moro, walai ningekuwa nimeshasahau kama nilikuwaga Tz
 
Licha ya matusi yote niliyoshushiwa lakini the message was sent.
 
Hata mie bongo bahati mbaya immigration hawatak kunigongea stamp ya exit
 
Nilisikia nchi ilivyopata uhuru alikuja Malkia wa Uingereza kwenye celebration alikuja kwa meli, siku ya kuondoka kwa vile watanganyika walikuwa wakarimu, akasema mtu yeyote anayetaka kwenda Uingereza anakaribishwa. Matokeo wanasema alijitokeza mtu mmoja tu tena alikuwa mmakonde. Ingekuwa leo hii nafikiri Uingereza isingetosha
 
Story za vijiweni, lini malkia alikuja bongo
 
Back
Top Bottom