Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Infantry Soldier,

Ndugu nashukuru umeona hiki kitu kinanikera hata mm!!
Sometimes naamini African wengi wana IQ ndogo kwani wanafikiri ulaya wanayoiona saiz ili just emerge from air,...kumbe watu walisweat,kutumia akili nyingi ha hata kujitoa sadaka kuitengeneza,....lakini leo waafrika wameacha kujenga nchi yao wanasema bongo bahat mbaya

Sasa sijui uko ulaya hata ukimpeleka kama ataweza kutafuta ata uo umaarufu tuliomtuza hapa bongo kama syo ataishia kua shoga tu
 
Mmh, haka kauzi bado kanatrend tu...hiyo BBM yenyewe tushaitia kapuni tayari.
 
Infantry Soldier,

Vipi kama angeimba :"TUPO US KWA BAHATI MBAYA". ungemshauri Trump aingilie kati? Watu wengine mawazo yenu mnayajua wenyewe aiseee.

Jamani tuwe wakweli, patriotism hailazimishwi. Ndo maana ukaitwa uzalendo! Kama watoto/vijana kila siku wanaona viongozi mnakuwa mafisadi, mnajilimbikizia mali na maovu mengineyo...unadhani kuzuia nyimbo za hao vijana kutasaidia kuficha hayo maovu?

Get serious. uzalendo ni matokeo ya uadilifu. uwajibikaji. kuheshimu haki za raia. kupigania maslahi ya wengi nk. na siyo porojo za kulazimishana. Hivi mtu ambaye hana ajira, maisha magumu, bomoa bomoa imemkumba..kwa nini asione kwamba yupo bongo kwa bahati mbaya?
 
Masanja,
Maadui wana njia njia nyingi sana za kuvamia nchi. Kwanza huanza na brainwashing. Ungesoma kozi za ulinzi wa nchi ungelijua hili. Vita huanzia akilini kwanza kabla ya mitutu ya bunduki kunyanyuliwa.
 
Wazalendo wapo Masaki wanaishi kwa kodi za wananchi, mie mwenyewe Bongo bahati mbaya
 
Ndio democrasia hiyo dogo ame air maoni yake...
au ww ulijua democrasia ni chadema kuruhusiwa kufanya mikutano yao ya hadhara tu!!!?
 
Ndio democrasia hiyo dogo ame air maoni yake...
au ww ulijua democrasia ni chadema kuruhusiwa kufanya mikutano yao ya hadhara tu!!!?
Anaharibu akili za watoto wadogo waichukie nchi yao. Anawafanyia watoto brainwashing
 
Back
Top Bottom