"Naomba Mdau yeyote mwenye zawadi kwa Taifa Stars awasiliane na Wizara ili tutambue zawadi ya mchango wa hamasa kwa Taifa Stars, hongereni sana Taifa Stars na Watanzania wote kwa hatua hii tuliyofikia kwenye mchujo wa kufuzu”——— Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa