Hii ya mwigulu kufananisha benefits na compasation za serikali zifanane na wabunge kwa maana ya ulipaji ila hataki kusema kiasi pia kilingane. Mfano.. Mwanasiasa anatembele jimbo tu, na nyingi ni private trip.. ukitaka wakadiliwe mafuta unawafanya waende tu kama unavyotaka wewe.
Wabunge nao wana piga makofi.
Mtauwa kasi ya utendaji kazi ya watumishi wa serikali.