saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuweka bei elekezi katika huduma na bidhaa inazonunua.
"Kwanini nchi nyingine za jirani na mashirika ya kimaitaifa wananunua magari kwa bei nafuu pengine zaidi ya nusu kuliko sisi serikalini" alihoji Nchemba.
"Haiwezekani hata kidogo lazima tukomeshe hali hii na tunaitegemea zaidi PPRA kutusaidia kutukwamua kutoka hapa ndani ya kipindi cha miezi michache katika mwaka huu wa fedha"alisema Mwigulu.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi Julai 15, 2022.