Waziri Mwigulu asisitiza kubana wapigaji serikalini

Waziri Mwigulu asisitiza kubana wapigaji serikalini

Mbona bado pamoja na hayo vitu substandard vinanunuliwa?
Vinanunuliwa kutokana na conspiracy kati ya maafisa wanaohusika kuagiza kukagua na kuvipokea na wazabuni. Ila kama bei hailipi unamlazimisha mzabuni kutafuta mbinu za kukwepa asipate hasara hivyo substandard goods inaingia.
 
Back
Top Bottom