Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jul 16, 2022 #21 Wanatutania hawa.
R RMC JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 1,861 Reaction score 2,664 Jul 16, 2022 #22 Countrywide said: Mbona bado pamoja na hayo vitu substandard vinanunuliwa? Click to expand... Vinanunuliwa kutokana na conspiracy kati ya maafisa wanaohusika kuagiza kukagua na kuvipokea na wazabuni. Ila kama bei hailipi unamlazimisha mzabuni kutafuta mbinu za kukwepa asipate hasara hivyo substandard goods inaingia.
Countrywide said: Mbona bado pamoja na hayo vitu substandard vinanunuliwa? Click to expand... Vinanunuliwa kutokana na conspiracy kati ya maafisa wanaohusika kuagiza kukagua na kuvipokea na wazabuni. Ila kama bei hailipi unamlazimisha mzabuni kutafuta mbinu za kukwepa asipate hasara hivyo substandard goods inaingia.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Jul 16, 2022 #23 johnthebaptist said: Ameongea ukweli mtupu Click to expand... Majizi yamejaamo kwenye manunuzi ya umma🤔
johnthebaptist said: Ameongea ukweli mtupu Click to expand... Majizi yamejaamo kwenye manunuzi ya umma🤔
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Jul 16, 2022 #24 Bejamini Netanyahu said: Matumizi yaanze na kubana bunge, haiwezekani budget ya miezi 12 inajadiliwa kwa miezi 3 ni utapeli na matumizi mabaya ya fedha za umma Click to expand... Bajeti ya covid19,tuanzie hapo kuonyesha dhamira ya kweli🤔
Bejamini Netanyahu said: Matumizi yaanze na kubana bunge, haiwezekani budget ya miezi 12 inajadiliwa kwa miezi 3 ni utapeli na matumizi mabaya ya fedha za umma Click to expand... Bajeti ya covid19,tuanzie hapo kuonyesha dhamira ya kweli🤔
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Nov 6, 2022 #25 Safi Sanaa
Sir robby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,396 Reaction score 4,080 Nov 6, 2022 #26 johnthebaptist said: Ameongea ukweli mtupu Click to expand... Wameongea wengi sana Kinachotakiwa ni VITENDO
johnthebaptist said: Ameongea ukweli mtupu Click to expand... Wameongea wengi sana Kinachotakiwa ni VITENDO