Waziri Mwigulu: Bado tuko imara kukopa kuliko nchi nyingine za Africa Mashariki na SADC

Waziri Mwigulu: Bado tuko imara kukopa kuliko nchi nyingine za Africa Mashariki na SADC

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kwa tathmini za deni la taifa la Tanzania, bado tuko vizuri kukopa zaidi ikifananishwa na nchi zote za Africa Mashariki na SADC.

Mwigulu amesema hayo akisoma hotuba ya bajeti bungeni ambapo amesema deni lililopo limefanya mambo mengi mazuri ikiwemo kujenga barabara.
Hii nchi hii ipo siku tutapigwa mnada
 
Mtu una PHD unajisifu kukopa na una kila aina ya rasilimali na wingi wa watu + ardhi, elimu ya kitanzania ni ya kijinga sn
 
Back
Top Bottom