Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hii nchi hii ipo siku tutapigwa mnadaWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kwa tathmini za deni la taifa la Tanzania, bado tuko vizuri kukopa zaidi ikifananishwa na nchi zote za Africa Mashariki na SADC.
Mwigulu amesema hayo akisoma hotuba ya bajeti bungeni ambapo amesema deni lililopo limefanya mambo mengi mazuri ikiwemo kujenga barabara.
Ni ujinga tupuMimi hapo sielewi, kwani kukopa ni ufahali?
Hii kauli ni ya kuitoa mtu anaetegemewa na taifa kweli?
Nchi muda wote ipo kwenye kampeni mzeeHii bajeti sijaielewa kabisa,kila baada ya maneno 3 mbele yake utasikia Samia tu
Upigwe mara ngapi?Hii nchi hii ipo siku tutapigwa mnada
Hawa ndiyo wasomi wa Tanzania ambao ukitoa cheti kichwani hana kitu kingine zaidi ya maji ya ubongoKwahiyo tunashindana kukopa?!