Waziri Mwigulu: Hatubani matumizi kwa kukopesha watu magari yanayowekewa mafuta na Serikali

Atapeleka tuu kwani magari ya Wabunge huwa hayaendi Vijijini?

Na kwa taarifa yako Serikali itakopesha magari yanayoweza kukabiliana na hayo mazingira.
 
Ndio serikali inalenga kuondoa huo upuuzi.
 
Hilo la gas tayari serikali imekwaisha Anza kulifanyia Kazi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220612-133616.png
    122.1 KB · Views: 6
Ungekosoa kwa namba ungekuwa umenisaidia, sio kesi

Mbunge analipwa kiasi gani kwaajili ya mafuta ya gari kwa mwezi, lita ngapi?

Au labda nizame kwako, MUONGOZO unasemaje?
Magari yatakayonunuliwa na Serikali Kwa ajili ya watumishi yatakuwa economy kuendana na pesa atakazopewa mtumishi.
 
Options zote zitaandaliwa ndio maana mjadala uko wazi na utekelezaji ni mpaka mambo yote yapatiwe majibu.
 
Mbona wabunge wanafanya ziara kwa magari ya kukopeshwa.sema wewe ni mbinafsi tu huna lolote! Kwanza unabidi utambue utakopeshwa kama umepandishwa cheo kinachostajili uwe na gari,kwa mantiki hiyo utapewa mkopo wenye masharti nafuu ili ununue gari let say mkopo usio na riba.ubaya uko wapi hapo?
 
Nionavyo Mimi mafuta wapewe fixed amount kwa mwezi Kama wanavyowekewa wabunge. Ukiwe fixed amount itajenga nidhamu ya Safar za viongozi na kupunguza wizi huo wa madereva. Viongozi watafanya Safari za lazima tuu. Kumbuka wameelekezwa kufanya mikitano mingi mtandaoni
 
Watatakiwa wa charge mileage Mkuu...mimi alternatively naona watembelee vanguards,kluger,fords waachane na hiyo midude yaani moja 400M tayari una gari karibu 10 hapo.
Sasa magari makubwa ya 400M kununulia (kukopesha) watumishi wote wanaostahili kupewa magari watamaliza madeni Yao kwa muda gani? Je, akiondolewa kwenye nafasi kabla ya muda deni lake litalipwaje?
 
Ubaya ni wananchi kugongojea huduma ya mtumishi ambae hawana uhakika kama gari lake ni nzima au ni mbovu Leo, ipo au imeibiwa.
 
Hapana bado halijafanyiwa maamuzi.
Nilitegemea kusikia kwenye bajeti ya serikali kuwa kila gari la umma na serikali linaenda kufungwa mfumo wa kutumia gesi ili litumie gesi na ushuru sifuri wa vifaa vinavyotumika kubadilishia mifumo kutoka mafuta kwenda gesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…