Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema bajeti ya Serikali ilikumbwa na changamoto mwaka jana na mwaka huu, hasa kutokana na uharibifu wa barabara chini ya Tarura na Tanroads pamoja na mgao wa umeme.
Akizungumza bungeni Dodoma, Dk Mwigulu amesema Serikali ililazimika kuchagua kati ya kukodi mitambo ya dharura au kuharakisha kukamilisha Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere, ambapo zaidi ya Sh400 bilioni zililipwa kwa mwezi ili mradi huo ukamilike haraka.