Akizungumza bungeni Dodoma, Dk Mwigulu amesema Serikali ililazimika kuchagua kati ya kukodi mitambo ya dharura au kuharakisha kukamilisha Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere, ambapo zaidi ya Sh400 bilioni zililipwa kwa mwezi ili mradi huo ukamilike haraka.