CCM ni janga la Taifa
HowCCM ni janga la Taifa
Ndungai ni mtu wa kupuuzwa, uzuri ameshapuuzwa tayari. Magu alikopa alivyojisikia na yeye ndiyo kwanza akaja na ile kauli yake ya atake asitake.......Mwigulu anajaribu kuepusha lawama, hizo pesa naamini ni za mkopo lakini kwasababu anajua walishaambiwa kukopa sio sifa wakamsuta aliewaambia, matokeo yake anachanganya maneno "mkopo" na "msaada" kwenye sentensi moja.
Haya ndio matatizo ya kukimbia kujibu hoja kwa hoja, kama ile hoja ya Ndugai ingejibiwa vizuri watu waridhike, leo Mwigulu asingekuwa na hiki kigugumizi cha kuandika, lakini kwasababu waliamua kumsuta, sasa ndio wanaishi kwa hofu, mwisho wa ubaya....
Kwani aliyeandika hiyo tweet ni machinga?
Ndio mwisho wa maono yetu ulipofikia
Yaani huyu bibi hana maana! Trillion saba anakopa ukijuisha hapo na mikopo kibao ameshakopa anakimbilia trillion 15 halafu kwa vile CCCM mengi ni makondoo yanashangilia! Pesa zaidi ya trillion mbili hapo lazima ziende Zanzibar! Wadanganyika wanatoa macho!Ndungai ni mtu wa kupuuzwa, uzuri ameshapuuzwa tayari. Magu alikopa alivyojisikia na yeye ndiyo kwanza akaja na ile kauli yake ya atake asitake.......
Kwani aliyeandika hiyo tweet ni machinga?
Ndungai ni mtu wa kupuuzwa, uzuri ameshapuuzwa tayari. Magu alikopa alivyojisikia na yeye ndiyo kwanza akaja na ile kauli yake ya atake asitake.......
Ukitoka huo mkopo ina maana ndani ya miezi 9 tutakua tumekopa 17trilion kama deni la nje. Hio trend unaona nzuri? Magufuli alikopa kwa akili na vitu alivyofanya vimeonekana.
Hivi kwa akili ya kawaida hii miradi mikubwa iliyoanzishwa toka awamu ya kwanza itaishaje bila fedha ya kutosha? Wakati inaanzishwa watu walishangilia kila siku kishindo Cha awamu ya tano. Maji umeyavulia nguo sharti uyaoge. Ilikuwa Bora kutokuanzisha chochote kabla ya kujiridhisha na uwezo wetu wa kifedha kwanza.Mwigulu anajaribu kuepusha lawama, hizo pesa naamini ni za mkopo lakini kwasababu anajua walishaambiwa kukopa sio sifa wakamsuta aliewaambia, matokeo yake anachanganya maneno "mkopo" na "msaada" kwenye sentensi moja.
Haya ndio matatizo ya kukimbia kujibu hoja kwa hoja, kama ile hoja ya Ndugai ingejibiwa vizuri watu waridhike, leo Mwigulu asingekuwa na hiki kigugumizi cha kuandika, lakini kwasababu waliamua kumsuta, sasa ndio wanaishi kwa hofu, mwisho wa ubaya....
Hivi kwa akili ya kawaida hii miradi mikubwa iliyoanzishwa toka awamu ya kwanza itaishaje bila fedha ya kutosha? Wakati inaanzishwa watu walishangilia kila siku kishindo Cha awamu ya tano. Maji umeyavulia nguo sharti uyaoge. Ilikuwa Bora kutokuanzisha chochote kabla ya kujiridhisha na uwezo wetu wa kifedha kwanza.
Magufuli alikopa kwa akili!Ukitoka huo mkopo ina maana ndani ya miezi 9 tutakua tumekopa 17trilion kama deni la nje. Hio trend unaona nzuri? Magufuli alikopa kwa akili na vitu alivyofanya vimeonekana.
Hakuna asiekopa,ila kwa sasa habari za selikari zinazungumziwa zaid kuliko kipindi cha awamu iliopita,hii ni kwa sababu uhuru wa kuzungumza umekuwa huru sana,tofauti na hapo awali
Magufuli alikopa kwa akili!
Kukopa kwa akili maana yake nini?
Magufuli alikopa halafu akawa anaturubuni kila Jambo analolifanya ni kwa pesa zetu ilihali deni la taifa linakuwa.
Kinachomgharimu mama ni uwazi si vinginevyo.