Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

Serikali gani ambayo haikukopa mpaka leo ushangae Serikali kukopa?


Kukopa kupo ila matumizi ya mikopo ndio shida…ukikopa bila kuzalisha mkopo utarudije..ndio hichi tunachokishuhudia hapa sasa tunakopa tena ili tulipe mikopo…tutatoboa
 
Kwahio kutopenda mikopo ni ujinga na akili ndogo
Ndio ,kwa sababu no way uta finance miundombinu mikubwa na kuifungua Nchi yetu na ukubwa huu ma kulinganisha na Nchi jirani kwa kutegemea kudunduliza ndani.

Si tuu hutaweza kufanya hivyo bali ukifanya hivyo utaua uchumi na kuleta umaskini.Ndicho kilotokea kwenye awamu ya 5..

NChi zote zinafanya hivyo,hata Wew hapo dinduliza kisalary chako afu tuone hata kama utajenga,hata biashara lazima uikuze kwa mkopo hakuna kitu inaitwa cash ikakutoa.
 

Kwahio hatuna akili ndogo ni kwamba SGR alioianzisha JPM bila kuengage China tukiimaliza tutakaa pazuri…
 
Kama tumejenga SGR na kununua Ndege kwa pesa zetu hata hivyo vingine tutafanya [emoji16][emoji16]
 

Ilisemekana pesa zinaenda kujenga matundu ya vyoo na madarasa..ndio tukahoji tozo zinafanya kazi gani..
 
Kukopa kupo ila matumizi ya mikopo ndio shida…ukikopa bila kuzalisha mkopo utarudije..ndio hichi tunachokishuhudia hapa sasa tunakopa tena ili tulipe mikopo…tutatoboa
Ok, nini ushauri wako au kipi kifanyike?
 
Yaan we msukuma chuki yako kwa mama samia haita kupa faida yeyote kwa sababu ndiye rais wako hadi 2030 utake usitake.
 
Hapo awali kulikua na tozo? Tulikatwa kodi za lazima za jengo kwenye LUKU?

Kama kweli ni wa wazi watuambie makusanyo ya tozo na kodi za majengo zinakusanywa kiasi gani kila mwezi na zinatumika vipi.
Sometimes huwa unapoint
 
Ok, nini ushauri wako au kipi kifanyike?

CCM imechoka tunaomba akili nyingine ituongoze..km jeshi ama tuajiri Raisi vyovyote vile…ila CCM ikae pembeni kwanza…

Jeshi wanamiradi mingi sana ya uzalishaji wanafanya huenda wakatusaidia kuchange mind set ya kukopa kwa ajili ya kujenga matundu ya vyoo…
 
1:Watu wasiojulikana
2:Mauaji
3:Uongo
4:Wizi
5:Ukabila na ukanda
6:Utekwaji
Hayo ni machache, kama uko Tanzania basi waweza ongezea
Tatizo mnaleta siasa kila kitu, hakuna awamu ambayo mauaji hayakutokea, kama unabisha niambie ni awamu ipi ilikua clean? Suala la uongo, ukabila na sijui matekaji ni cheap politics tu, sikatai kua hayakutokea ila nnachoshangaa ni kwanini anasemwa magufuli tu. Kuna miaka watu walipigwa na mabomu arusha ila mnajikausha tu.

Japo Magufuli alikua na mapungufu yake, ila pia semeni na mazuri yake. Yule mzee alikua na maono na uthibutu usio wa kawaida.
 
Ilisemekana pesa zinaenda kujenga matundu ya vyoo na madarasa..ndio tukahoji tozo zinafanya kazi gani..
Ukiambiwa na nani kwamba tozo no kwa ajili ya madarasa tuu? Shida serikali inapo table bajeti huwa mko busy kusikiliza ujinga na umbea wa machadema.

TOzo ina Kazi nyingi kama barabara Vijijini,maji,vituo vya afya na madarasa pia.
 
HONGERA SANA MH.MWIGULU,PESA HIZI ZITAHARAKISHA MAENDELEO YETU KWA HARAKA NA UPO WAKATI HATUTAHITAJI TENA MIKOPO MIKUBWA HIVYO TUTAKUWA TUNALIPA TU MADENI HUKU MIRADI HUSIKA IKISAIDIA KULIPA MADENI,
N.B,wapo watu wanaogapa kweli mikopo hii ya kiserekali kana kwamba baba zao na mama zao ndio watalipishwa.
 
Magufuli alikopa kwa akili!
Kukopa kwa akili maana yake nini?

Magufuli alikopa halafu akawa anaturubuni kila Jambo analolifanya ni kwa pesa zetu ilihali deni la taifa linakuwa.

Kinachomgharimu mama ni uwazi si vinginevyo.
Uwazi upi unaouzungumzia labda,maana deni la Taifa hata kwa kipindi cha Magufuli watu waliliongelea.
 
1:Watu wasiojulikana
2:Mauaji
3:Uongo
4:Wizi
5:Ukabila na ukanda
6:Utekwaji
Hayo ni machache, kama uko Tanzania basi waweza ongezea
Mnahangaika sana kuwaaminisha watu ubaya wa Magufuli.
Isivyo bahati mlifeli kabla hamjaanza, tunaelekea mwaka bado
mnaimba ubaya wa magufuli kwenye keyboard tu mtaani anazidi kukumbukwa.
Chukua buk7 kwa shaka kwa kazi nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…