Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Kwanini uendeshe miradi kupitia kunyonya wananchi
Yuko ndege mmoja akitotoa vifaranga anajitoa manyoya yake ili vifaranga vikiota manyoya yaote pamoja naye Kisha waruke pamoja kwa Amani na furaha.Je nyie viongozi mnafanya haya ili baadae tujefaidi ustawi wa Taifa?Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini.
Ameyasema haya wakati akitolea ufafanuzi wa uwepo wa tozo nyingi zinazolalamikiwa na wananchi mtaani.
Ametolea mfano wa ujenzi wa Bwawa la Nyerere ambalo gharama yake inafikia kiasi cha trilioni 6, ujenzi wa reli ya kisasa, utoaji wa elimu bure pamoja na mikopo kwa wanafunzi.
Katikia kusisitiza hoja hii, waziri amesema kuwa hakuna nchi yoyote kwenye ukanda wa SADC inayoendesha miradi mikubwa yenye manufaa kwa wananchi kuzidi Tanzania.
Dikteta Magufuli alituambia fedha za kujenga hiyo miradi ipo na wakati huo tozo hazikuwepo, sasa fedha ile imeenda wapi?Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini.
Ameyasema haya wakati akitolea ufafanuzi wa uwepo wa tozo nyingi zinazolalamikiwa na wananchi mtaani.
Ametolea mfano wa ujenzi wa Bwawa la Nyerere ambalo gharama yake inafikia kiasi cha trilioni 6, ujenzi wa reli ya kisasa, utoaji wa elimu bure pamoja na mikopo kwa wanafunzi.
Katikia kusisitiza hoja hii, waziri amesema kuwa hakuna nchi yoyote kwenye ukanda wa SADC inayoendesha miradi mikubwa yenye manufaa kwa wananchi kuzidi Tanzania.
Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini.
Ameyasema haya wakati akitolea ufafanuzi wa uwepo wa tozo nyingi zinazolalamikiwa na wananchi mtaani.
Ametolea mfano wa ujenzi wa Bwawa la Nyerere ambalo gharama yake inafikia kiasi cha trilioni 6, ujenzi wa reli ya kisasa, utoaji wa elimu bure pamoja na mikopo kwa wanafunzi.
Katikia kusisitiza hoja hii, waziri amesema kuwa hakuna nchi yoyote kwenye ukanda wa SADC inayoendesha miradi mikubwa yenye manufaa kwa wananchi kuzidi Tanzania.
Si anajua hatuna cha kumfanyaHuyu mwigulu hamna kitu sasa ndiyo ufafanuzi gani huu kauleta!!?
Utakuwa disappointed tu mkuu, huyu mtu na katelephone ni dead brain- hakuna kitu cha maana unachoweza kupata kutoka kwao........ngoja nimsikilize mpaka mwisho then ndio niongee