Waziri Mwigulu: Tozo zinasaidia kuendesha miradi ya kimkakati

Waziri Mwigulu: Tozo zinasaidia kuendesha miradi ya kimkakati

Hatuwezi kumtoza mwl. wa shule ya msingi au nesi anayepata kima cha chini tumuache mpangishaji anayeingiza mil.60 kwa mwaka, 😁 hivi wao kama wabunge / mawaziri wanakatwa kama hawa watumishi ikiwemo hii PAYE?
 
Zinaendesha miradi vipi bila kutuambia kila mwezi wanapeleka kiasi gani kwenye hiyo miradi?

Mwigulu anatumia kisingizio cha uwepo wa hiyo miradi kuchezea tozo wanazochuma toka kwa watanzania, anatakiwa kuleta mapato na matumizi ya tozo kila mwezi kwa wananchi.
 
Misaada , na udhamini wa IMF & WB viko wapi?

Hamuoni kama wananchi wananyanyasika..
Kisingizio cha elim bure kisiwepo ni jukum la serikali kutoa elim na kuzalisha wasomi katika nchi
 
Back
Top Bottom