Zinaendesha miradi vipi bila kutuambia kila mwezi wanapeleka kiasi gani kwenye hiyo miradi?
Mwigulu anatumia kisingizio cha uwepo wa hiyo miradi kuchezea tozo wanazochuma toka kwa watanzania, anatakiwa kuleta mapato na matumizi ya tozo kila mwezi kwa wananchi.