The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Akisoma Bajeti ya Serikali Bungeni Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba ametoa onyo Kali Kwa Viongozi wa Kisiasa wanaopanda mbegu za chuki, ubaguzi na kuvunja utaifa wa Tanzania kuacha mara Moja vinginevyo watashighulikiwa.
Dr.Nvhemba amesema watu hao wanakiuka misingi ya Taifa hili na misingi ya usajili wa Vyama vyao Kwa kuhubiri na kueneza chuki za kugawa Nchi hii na kuleta ubaguzi kinyume kabisa na maadili ya Watanzania na waasisi wa Nchi hii.
Ametoa wito Kwa Watanzania kuwakataa kwani ni watu hatari na WA hovyo.Aidha amevitaka vyombo vya Dola kushughulika na watu wa aina hiyo kwani wamefilisika Kisiasa.
View: https://www.instagram.com/reel/C8KSCTNOUi-/?igsh=bDMyN2UwcmdpaWM3
My Take
Naunga mkono hoja hao watu Wana pa kukimbilia wakiliamsha ila sisi Watanzania tutakikbilia wapi? Wakatakiwe na vyombo vya Dola visicheke nao.
View: https://www.instagram.com/p/C8KPwGdKRjg/?igsh=MnZ4OTdyYWZrYmd6
=====
Pia soma: Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma