Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

Umechangia kwa ustadi wa hali ya juu sana.
Ila huyo uliye muelimisha nadhani ametoka kapa maana tayari ana majibu yake kichwani tayari.
 
Mna wivu wa kijinga mataga, aliye kuzidi kakuzidi tu hata ukifanya fitina hazitasaidia kitu.
Naona una huruma sana na wakenya, hamia kwao.

Haiwezekeni mtu kakuchokoza yeye halafu wewe uliyechokozwa uwe wa kwanza kuomba msamaha. Ni ujinga

Kama unaumia na huo uamzi nenda kwa wakenya wao si ndo unaona wastaarabu sana.
 

mmeshasalimu amri huko na mshindi ni Tanzaniaaaaaaaaaaaaa
 
Kenya ipo juu sana na itazidi kututimulia mavumbi sana.
Mkuu inaelekea huelewi taztizo, na nia ya mandeleo ya kiuchumi si kutimualiana mavumbi bali kuongea ushikiano wa kibiashara kati ya nchi za Afrika Mashariki.
 
Tatizo letu tunalazimisha kuabudiwa na kila mtu, kumheshimu jirani yako ndiyo njia rahisi sana ya kulinda mahusiano.
Mkuu inaelekea huelewi taztizo, na nia ya mandeleo ya kiuchumi si kutimualiana mavumbi bali kuongea ushikiano wa kibiashara kati ya nchi za Afrika Mashariki.
 
Tatizo letu tunalazimisha kuabudiwa na kila mtu, kumheshimu jirani yako ndiyo njia rahisi sana ya kulinda mahusiano.
At least sasa unaelewa argument, hiyo ndiyo diplomacy!
Kuheshimian ni mutual!
 
Kuna wakati diplomacy never work, hivi mtu anazuia ndege na raia wa nchi yako kuingia katika nchi yake wewe unasubiri deplomacy? wao kabla hawaja zuia hawa kufikiri kama deplomacy ina hitajika? Kenya ni masikini the kama nchi zote za EAC hakuna haja ya kumbembeleza.
 
Hivi mtu aliyeishi jalalani kwa zaidi ya nusu ya uhai wake unategemea akufanyie nini kipya?
 
Sahihi
 
Mjinga tu ndo hukimbilia kurusha ngumi linapotokea tatizo
 

Zama za kissinger na leo ni tofauti sana, ndo maana unaona kina pompeo wanachukua approach tofauti.

Utakuwa mjinga uliyepitiliza kumpa baraka jirani yako akujeruhi kiuchumi. Btw, let's wait and see who blinks first.
 
Hii ndio dhana nisiyokubaliana nayo kabisa.

In fact, ni dhana ya kipuuzi sana.
Unataka kila mtu akubaliane na unavyotaka wewe?

Hiyo sahau kabisa na haitakuja kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…